Uturuki imezuia meli ya Urusi iliyobeba ngano

Uturuki imezuia meli ya Urusi iliyobeba ngano

Wananunua kwa hela isiyo na thamani ya pesa ya kichina na rupees za India kubadili Ruble za Urusi sio dola au Euro au Yen ya Japan

Warusi wanahaha kutafuta pesa za kigeni zenye nguvu ndio wanaiba ngano Ukraine kuuza magendo nchi zingine
We jamaa akili Yako Ina shida!
 
Urusi imefilisika ngano hata ubebe meli mia ngano ya wizi zitaweza endesha vita? Hata kifaru kimoja tu hununui ukilipwà pesa ya hiyo ngano

Wanahaha kutafuta pesa

Watanzania kuiba hadi maandaxi na chapati kwa mama nitile wa Ukraine

Jeshi la Urusi limeehuka
Mambo mengine bwana, hivi huna habari kwamba Urusi ni mzalishaji mkubwa wa Ngano Duniani!!

Leo hii Russia enemies wanakuja na ngonjera zao eti Urusi inasafirisha ngano ya wizi kutoka Ukraine, as if Urusi hawalimi/zalisha ngano,kashfa tu na uzushi; sijawahi kusikia media za magharibi zikizungumza/tuhumu chochote kuhusu meli za USA kusarisha mafuta ya wizi kutoka visima vya mafuta huko Iraq wizi huu umeendelea tangu vita Ta Ghuba mpaka leo, si hilo tu waliteka vile vile visima vya mafuta nchini Syria wanaendelea kuiba mafuta ya Syria na kuyasafirisha kwenda Merikani, hakuna anae lisema hilo - muda wote media za magharibi ni kulahumu Urusi na Putin.
 
Ngano ya wizi hiyo imeibiwa kwenye mabohari Ukraine

Sasa hivi magenerali wa Urusi wanaiba ngano Ukraine na kusafirisha kuuza nje
Urusi ni kikundi cha vibaka , majambazi yana kwapua mazao kwenye mabohari Ukraine halafu yanaenda kuuza nchi za nje ili yaweze kumudu vita , a bunch of scums
 
Uturuki akitaka sifa za kijinga asilalamike tutakapo mshushia kitu kizito utosini
We mjinga unafikiri Turkey ni Ukraine na wanyonge wengine Urusi iliozoea kuonea sio ? ,hebu kasome history na military strength za hili Taifa kabla ya kupost ujinga wako huu
 
Mambo mengine bwana, hivi huna habari kwamba Urusi ni mzalishaji mkubwa wa Ngano Duniani!!

Leo hii Russia enemies wanakuja na ngonjera zao eti Urusi inasafirisha ngano ya wizi kutoka Ukraine, as if Urusi hawalimi/zalisha ngano,kashfa tu na uzushi; sijawahi kusikia media za magharibi zikizungumza/tuhumu chochote kuhusu meli za USA kusarisha mafuta ya wizi kutoka visima vya mafuta huko Iraq wizi huu umeendelea tangu vita Ta Ghuba mpaka leo, si hilo tu waliteka vile vile visima vya mafuta nchini Syria wanaendelea kuiba mafuta ya Syria na kuyasafirisha kwenda Merikani, hakuna anae lisema hilo - muda wote media za magharibi ni kulahumu Urusi na Putin.
Wewe mjinga hebu weka source hapa inayoonyesha kuna sehemu Marekani amewahi iba mafuta au kuteka visima vya mafuta , msiwe mnaandika ujinga ujinga hapa kkadhani kila mtu ni popoma
 
Wewe mjinga hebu weka source hapa inayoonyesha kuna sehemu Marekani amewahi iba mafuta au kuteka visima vya mafuta , msiwe mnaandika ujinga ujinga hapa kkadhani kila mtu
Kitu cha kwanza jifunze kuheshimu binadamu wenzako, hata kama mnatafautiana kwa maoni, leta maoni mbadala wasomaji watakuelewa lakini sio utukane ovyo ovyo members.

Hivi una kiwango gani cha uelewa/elimu kwenye masuala ya applications programs za mitandaoni, kuna vitu vinajulikana kama search engines zipo nyingi tu, tafuta moja wapo andika:

*Nani muhusika mkuu wa wizi wa mafuta kutoka kwenye visima vya mafuta nchini Syria?

* Nani muhusika mkuu wa wizi wa mafuta kutoka kwenye visima vya Iraq wakati na baada ya vita ya Ghuba.

Soma kwa umakini taarifa hizo halafu rudi hapa jamvini utupatie mrejesho. Nakukumbusha tena usitukane watu. CHEERS.
 
Mturuki anawafeki washirika wake tu..hayupo tayari kuvuruga mahusiano ya Russia,mwisho ataiachia tu.

Alishatunguaga mpaka ndege ya kirusi huyu akaomba sorry mrusi ikabidi atulie
 
Urusi imefilisika hela

Ina mi stock mikubwa ya silaha na wananajeshi lakini pesa hana

Wanajeshi watalipwa .mishahara vifaru au mabomu?
Acha umbea yaani nchi inayolisha gas jumuiya ya ulaya more than 40% eg Geman 45% bulagaria 90% bado anawauzia makaa ya mawe, mafuta etc ikose hela? Au Urusi unayozungumzia ni kale kamtaa ka kule kwa mpalange?
 
We mjinga unafikiri Turkey ni Ukraine na wanyonge wengine Urusi iliozoea kuonea sio ? ,hebu kasome history na military strength za hili Taifa kabla ya kupost ujinga wako huu
We jamaa jinga sana, yahani unafikili kupigwa na kitu kizito ni kwa njia ya vita tu??
 
Nimeona taarifa hii ya kushangaza kwakuwa niliamini kuwa Uturuki yuko upande Urusi lakini leo hii Serikali ya Uturuki imezuia meli iliyosheheni ngano, yasemekena ngano hiyo iliibiwa Ukraine. Meli hiyo imezuiwa kwa ombi la Ukraine.

Najiuliza: Putin hataanza kuirushia makombora Turkey?

==========

Ukraine says Russian ship carrying Ukrainian grain detained by Turkey​

KEY POINTS
  • Turkish customs authorities have detained a Russian cargo ship carrying grain that Ukraine says is stolen, Ukraine’s ambassador to Turkey said on Sunday.
  • Ukraine had previously asked Turkey to detain the Russian-flagged Zhibek Zholy cargo ship, according to an official and documents viewed by Reuters.
FILE PHOTO: Russian-flagged cargo ship Zhibek Zholy is seen off the coast of Black Sea port of Karasu, Turkey, July 2, 2022. REUTERS/Yoruk Isik/File Photo

Russian-flagged cargo ship Zhibek Zholy is seen off the coast of Black Sea port of Karasu, Turkey, July 2, 2022.
Yoruk Isik | Reuters

Turkish customs authorities have detained a Russian cargo ship carrying grain that Ukraine says is stolen, Ukraine’s ambassador to Turkey said on Sunday.

Ukraine had previously asked Turkey to detain the Russian-flagged Zhibek Zholy cargo ship, according to an official and documents viewed by Reuters.

Reuters reporters saw the Zhibek Zholy ship anchored about 1 km from shore and outside of the Karasu port on Sunday, with no obvious signs of movement aboard or by other vessels nearby.

“We have full co-operation. The ship is currently standing at the entrance to the port, it has been detained by the customs authorities of Turkey,” Ambassador Vasyl Bodnar said on Ukrainian national television.

Bodnar said the ship’s fate would be decided by a meeting of investigators on Monday and that Ukraine was hoping for the confiscation of the grain.

Ukraine has accused Russia of stealing grain from the territories that Russian forces have seized since Moscow’s invasion began in late February. The Kremlin has previously denied that Russia has stolen any Ukrainian grain.

A Ukrainian foreign ministry official, citing information from Ukraine’s maritime administration, told Reuters on Friday the 7,146 dwt Zhibek Zholy had loaded the first cargo of some 4,500 metric tons of Ukrainian grain from Berdyansk, a Russian-occupied port in south Ukraine.

The region’s Sakarya port authority was not immediately available for comment. Turkey’s foreign ministry did not immediately respond to a request to comment.
Kama Ukraine tu inaibiwa Ngano.. tujiulize Congo wanaibiwa nini [emoji848]

YANI meli kubwa kama hiyo ikitua Congo inabeba madini kiasi gani??
 
Mambo mengine bwana, hivi huna habari kwamba Urusi ni mzalishaji mkubwa wa Ngano Dunian
Kwahiyo unadhani kuwa majizi yote yanaiba kwakuwa hayana hicho wanachoiba?
 
Mambo mengine bwana, hivi huna habari kwamba Urusi ni mzalishaji mkubwa wa Ngano Duniani!!

Leo hii Russia enemies wanakuja na ngonjera zao eti Urusi inasafirisha ngano ya wizi kutoka Ukraine, as if Urusi hawalimi/zalisha ngano,kashfa tu na uzushi; sijawahi kusikia media za magharibi zikizungumza/tuhumu chochote kuhusu meli za USA kusarisha mafuta ya wizi kutoka visima vya mafuta huko Iraq wizi huu umeendelea tangu vita Ta Ghuba mpaka leo, si hilo tu waliteka vile vile visima vya mafuta nchini Syria wanaendelea kuiba mafuta ya Syria na kuyasafirisha kwenda Merikani, hakuna anae lisema hilo - muda wote media za magharibi ni kulahumu Urusi na Putin.
Hata Rais analipwa mshahara mkubwa sana, anahudumiwa kila kitu Hadi kufa lakini bado anaiba.
 
Urusi ameiomba Turkey waiachie meli hiyo, kwa kuwa ngano ni ya Ukraine, na yeye Urusi anaenda kuwauzia kwenye masoko ya dunia na atawapa Ukraine pesa yao. Kwahiyo wameshaelewana.
 
Back
Top Bottom