Uturuki inatujengea SGR. Wameshambuliwa na magaidi. Are we not supposed to share in their grief?

Uturuki inatujengea SGR. Wameshambuliwa na magaidi. Are we not supposed to share in their grief?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2012
Posts
15,892
Reaction score
16,476
Good morning Jamiiforums.

Ni takribani siku saba/wiki moja imepita sasa tangia nchi ya Uturuki, inayotujengea SGR, ishambuliwe na magaidi. Ipo wapi response yetu? Are we not supposed to share in their grief?

37256211_101.jpg


Nimepitia tweets na accounts za Rais, Wizara ya mambo ya nje, Ubalozi wetu kule Uturuki, Msemaji mkuu wa serikali, wote kiiiiimya.

THIS IS WHAT REALLY HAPPENED.
===
Takriban watu sita wameuawa na wengine 81 kujeruhiwa katika mlipuko katika eneo lenye shughuli nyingi katikati mwa Istanbul, mamlaka ya Uturuki imesema.

Mlipuko huo ulitokea mwendo wa saa 16:20 kwa saa za huko (13:20 GMT) kwenye barabara ya maduka katika eneo la Taksim Square, gavana wa jiji la Uturuki Ali Yerlikaya alisema.

Mshukiwa sasa amekamatwa, Waziri wa Mambo ya Ndani alisema.

Makamu wa Rais Fuat Oktay awali alisema mlipuko huo ulidhaniwa kuwa ni shambulio la kigaidi lililotekelezwa na mwanamke.

Rais Recep Tayyip Erdogan alisema wahusika wataadhibiwa.

Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari mjini Istanbul, alilaani kile alichokiita “shambulio baya” na kusema kulikuwa na “harufu ya ugaidi”.

Soma hii>>> Tanzania's turn to Turkey for SGR funds leaves China in limbo
 
Good morning jamiiforums.

Ni takribani siku saba/wiki moja imepita sasa tangia nchi ya Uturuki, inayotujengea SGR, ishambuliwe na magaidi. Ipo wapi response yetu? Are we not supposed to share in their grief?
Kwani Uturuki ndio inatujengea reli au kampuni ya kituruki? Kwa hiyo Azam inapoonyesha TV katika nchi zilizotuzunguka, basi ni Tanzania ndio inaonyesha?
 
Kwani Uturuki ndio inatujengea reli au kampuni ya kituruki?
Kwa hiyo Azam inapoonyesha TV katika nchi zilizotuzunguka, basi ni Tanzania ndio inaonyesha?
Mimi mwenzio nilikataa kutumiwa na chama chochote cha siasa ndio maana bado nipo mtaani mlalahoi. Wewe endelea kutetea chama chako badala ya kutetea taswira njema ya nchi
 
Tanzania ilipoteza raia 19 kwa ajali ya ndege,na wengine 26 kuokolewa na Majaliwa.
Uturuki walitupa pole?
Tuende mbele turudi nyuma
 
Back
Top Bottom