Uturuki inatujengea SGR. Wameshambuliwa na magaidi. Are we not supposed to share in their grief?

Kama unaanza kuleta personal issues katika mijada badala ya kuja na hoja, sasa nitaanza kukudharau.
Ungesoma Journalism au Community Development ningekusamehe kwa hili. Ila umesoma field isiyo mbali na unachopambania hapa. Ndio nakuuliza ukinunua gari kwa mkopo wa CRDB hilo gari mnunuzi ni CRDB?
 
Kukopeshwa pia ni msaada kwa maana unakuwa umekosa pesa instantly. Ukiwa na jeuri ya pesa unalipa cash papo kwa hapo.
 
Back
Top Bottom