Uturuki inatujengea SGR. Wameshambuliwa na magaidi. Are we not supposed to share in their grief?

Uturuki gani inatujengea SGR. Yappi Merkezi ndio Uturuki? Kwamba Coca-Cola na PepsiCo zikituuzia soda kwa hela yetu basi Marekani ndio inatunywesha?

Tulitakiwa kutoa pole ila Uturuki haitujengei reli
 
Uturuki gani inatujengea SGR. Yappi Merkezi ndio Uturuki? Kwamba Coca-Cola na PepsiCo zikituuzia soda kwa hela yetu basi Marekani ndio inatunywesha?

Tulitakiwa kutoa pole ila Uturuki haitujengei reli
Kabla ya kusaini mkataba, Erdogan alikuja kufanya nini?
 
Tulivyopata janga la ajari ya ndege ulisikia ubalozi wao au wizara yao ya mambo ya nje wakiongea lolote?
 
Kabla ya kusaini mkataba, Erdogan alikuja kufanya nini?
Alikuja kufanya ziara ambazo Museveni, Kenyatta au Head of State yeyote anafanya na kusaini mkataba wowote au kufanya makubaliano. Rais wa nchi ya nje akifanya ziara ndio tuanze kujiliza wakifa. Wao wamejiliza kwenye misiba yetu?
 
Degree yako ya Accounting hapo IAA ilikufundisha ukikopa hela NMB ukajenga nyumba, basi hiyo nyumba imejengwa na NMB?

Hilo si ni deni na linastahili kulipwa. Kwani bure hiyo? Kwakuwa kampuni ya Arab Contractors wanajenga HEP hapa nchini utasema Egypt ndio inajenga. Kisa walileta delegation na serikali yao ilikopesha baadhi ya funds.

Case yako ingekuwa sahihi 100% kama ungezungumzia daraja la Tanzanite na South Korea ambao walijenga kama msaada. Jifunze kutofautisha kampuni na nchi
 
Hii pia utaikataa>>> Turkey to partly fund multitrillion railway project in Tanzania
 
Degree yako ya Accounting hapo IAA ilikufundisha ukikopa hela NMB ukajenga nyumba, basi hiyo nyumba imejengwa na NMB?
Kama unaanza kuleta personal issues katika mijada badala ya kuja na hoja, sasa nitaanza kukudharau.
 
Siku zote ukimuona mtu anatumia nguvu nyingi katika kutetea jambo ujue ana shida fulani pahala.
 
Wao kama nchi walitupa pole tulipopoteza watu 19 kwenye ajali ya ndege ya Precision?
Mkuu, alafu kaa ukijua ya kwamba Tanzania inawahitaji sana Uturuki kuliko Uturuki inavyoihitaji Tanzania. We're poorer compared to the Turkish.
 
Tulivyopata janga la ajari ya ndege ulisikia ubalozi wao au wizara yao ya mambo ya nje wakiongea lolote?
Kumbuka kuwa sisi tuna shida nao sana. Jamaa wapo very advanced hivyo tunawahitaji sana. Labda kama ukisema tuishi kwa dhana ya "masikini jeuri"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…