Uturuki ni mwiba kwa NATO,yuko huku na kule.

NATO Kwasasa hawezi kumfanya chochote huyo jamaa wanamuhitaji,wanahitaji Kura yake ili Sweden na Finland zipate fursa ya kujiunga na NATO na Erdogan analijua hilo na anatumia fursa vizuri Ila hilo Jambo likipita sitashangaa mikwaruzano ikaanza tena kama kipindi kile cha Trump
Nisharudia na narudia tena
Suala la hao ulowataja kujiunga na NATO usahau
Ile ilikua siasa tu nahaitakaa jamaa wajiunge na NATO
acha tuone!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NATO Kwasasa hawezi kumfanya chochote huyo jamaa wanamuhitaji,wanahitaji Kura yake ili Sweden na Finland zipate fursa ya kujiunga na NATO na Erdogan analijua hilo na anatumia fursa vizuri Ila hilo Jambo likipita sitashangaa mikwaruzano ikaanza tena kama kipindi kile cha Trump
Kwani uanachama wake hauwezi kuwa revoked?
 
Back
Top Bottom