NATO Kwasasa hawezi kumfanya chochote huyo jamaa wanamuhitaji,wanahitaji Kura yake ili Sweden na Finland zipate fursa ya kujiunga na NATO na Erdogan analijua hilo na anatumia fursa vizuri Ila hilo Jambo likipita sitashangaa mikwaruzano ikaanza tena kama kipindi kile cha Trump