Uturuki: Refa achapwa makonde kwa kuongezwa muda uliosababisha wapinzani kusawazisha

Uturuki: Refa achapwa makonde kwa kuongezwa muda uliosababisha wapinzani kusawazisha

ANTDOTE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2023
Posts
216
Reaction score
609
Screenshot_20231212-081450.jpg

Ni siku ya Jana katika mechi ya Ankagurcu vs rizespor. Aliongeza mda mrefu na kusababisha wapinzani kusawazisha.

Maamuzi yenye ukakasi na wanayolalamikiwa sana marefa huenda yakaleta madhara kama haya Tanzania.

Inasemekana wengine Huwa Wana beti.

Screenshot_20231212-081538.jpg
 
Pia wachezaji waache kupote muda... Yaani zimeongezwa dk 8 afu zichezwe 3? Hata Kama ni Mimi refa zitachezwa zote hata .
 
Inabidi itungwe kanuni ya kutoa red card moja kwa moja kwa mchezaji anayepoteza muda. Sisi mashabiki tunataka kuangalia kwa dakika 90 na si pungufu!
Naunga mkono hoja. Bila kanuni Wachezaji wa timu za kihuni kama Coast Union watafanya wanavyotaka bila kikwazo.
 
Huku kwetu kuna yule mwamuzi mmoja wa kike anayepangwa mara kwa mara kuchezesha mechi za timu fulani hivi na kuibeba kupitia maamuzi yenye utata, ajiangalie sana.

Kuna siku wahuni watakuja kumtwanga ngumi.
 
Umekaa kitaarabu sana Khadija Kopa anasubiri.
 
Huku kwetu kuna yule mwamuzi mmoja wa kike anayepangwa mara kwa mara kuchezesha mechi za timu fulani hivi na kuibeba kupitia maamuzi yenye utata, ajiangalie sana.

Kuna siku wahuni watakuja kumtwanga ngumi.
Na Arajiga pia kuibeba team fulani, afu alifunguwa pia.
 
Back
Top Bottom