Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Ndegevita za kimarekani F-16 zinazomilikiwa na Uturuki zimenyanyaswa kijinsia na S-300 (mfumo wa ulinzi wa anga wa kisoviet/kirusi wa zamani) ya Ugiriki zilipokuwa zikiruka kwenye kisiwa cha Crete (Ugiriki).
Taarifa hiyo imetolewa na Wizara ya Ulinzi ya Uturuki (mwanachama wa NATO kwa miaka zaidi ya 70) ikiilalamikia Ugiriki kuzidhalilisha ndege hizo za kimarekani (NATO) aina ya F-16 (wenyewe huziita game-changer a.k.a. superweapons) kwa kutumia S-300 ya kisovieti.
Halafu kuna wapumb2vu wanataka eti Uturuki aache kuingiza S-400 nyingine za Urusi, akachukue mavyumavyuma chakavu ya kimarekani sijui ma-Patriot PAC-3 sijui ma-THAAD😁😁🤣🤣😂😂😇😇😇
Ngoja nisubiri kumwagiwa Povu la OMO na waNATO wa Kibaigwa.
=====