Uturuki yalalamika ndege zake F-16 za kimarekani zimenyanyaswa vibaya mno na S-300 ya Ugiriki

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
Ndegevita za kimarekani F-16 zinazomilikiwa na Uturuki zimenyanyaswa kijinsia na S-300 (mfumo wa ulinzi wa anga wa kisoviet/kirusi wa zamani) ya Ugiriki zilipokuwa zikiruka kwenye kisiwa cha Crete (Ugiriki).

Taarifa hiyo imetolewa na Wizara ya Ulinzi ya Uturuki (mwanachama wa NATO kwa miaka zaidi ya 70) ikiilalamikia Ugiriki kuzidhalilisha ndege hizo za kimarekani (NATO) aina ya F-16 (wenyewe huziita game-changer a.k.a. superweapons) kwa kutumia S-300 ya kisovieti.

Halafu kuna wapumb2vu wanataka eti Uturuki aache kuingiza S-400 nyingine za Urusi, akachukue mavyumavyuma chakavu ya kimarekani sijui ma-Patriot PAC-3 sijui ma-THAADπŸ˜πŸ˜πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡

Ngoja nisubiri kumwagiwa Povu la OMO na waNATO wa Kibaigwa.
=====



 
Vijiwe vya kunifariji kwanza hao wote ni EU

Harafu F 16 ni ndege za kizazi cha mwaka 1970s kwahiyo huo ni mpambano wa Mavyuma Chakavu

Tupo Kiev na log off Z
 
Vijiwe vya kunifariji kwanza hao wote ni EU

Harafu F 16 ni ndege za kizazi cha mwaka 1970s kwahiyo huo ni mpambano wa Mavyuma Chakavu

Tupo Kiev na log off Z
We endelea kuteseka tu...mie nasukuma dawa tuuu...

Chukua na hii uzidi kuharibikiwa na weekend yako: Aljazeera inaripoti kuwa Urusi imechoma ghala za makombora ya kimarekani ya HIMARS na mabomu howitzers za Marekani (M777 Howitzer) huko kwenye mkoa Dnipropetrovsk, Ukraine.

Pia Urusi wameinywa MiG-29 ya Ukraine pamoja maghala la silaha huko Donetsk, Mykolaiv na Kherson.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…