Uturuki yapeleka Vikosi na Drones Somalia, karibu na mpaka wa Kenya

Kenya isikubali kuwa ya kinyonge ipigane tu isijali hivyo vikosi ingawa najua uhuru mjanja sana hatapigania lakini kenya ni lazima ilinde heshima yake na iwe nchi ya misimamo😀😀😀[emoji216][emoji216][emoji2764][emoji2764]
Hahahahaha waturuki huwa hawapigi tu ila wanasaga pia kawaulize vichwa ngumu Armenia kilichowapata

Alafu na nyie mmezidi mambo mnayofanya sasa hivi ya kutafuta ushawishi Tz ilifanya miaka hiyo kipindi dunia ipo kwenye vita baridi
 
Recap on Kenyas relations with her neighbours,

Uganda deployed soldiers against Kenya at Migingo,

Ethiopia Troops are involved several times shooting down Kenyan Aircrafts , several times,
Ethiopia troops killing Kenyans within Kenyan territory several times

South Sudan dont want to hear the word Kenya

Somalia and Kenya had a boarder dispute for decades, now the situation is beyond diplomacy, Somalia is yet ready for war and death

Apparently Tanzania is the only accommodative and lenient to Kenya with all of its disobedience
I don't know why Tanzanians debate with a lot of emotions in these forums about anything Kenyan. Kwani Kenya iliwafanyia nini? Cha kushangaza ni kwamba most of you are out of touch with the reality. It's really sad.

About Migingo island, it's even laughable go state that Kenya started the standoff. Migingo island is geographically in Kenya and it has always been since tine immemorial. If you are doubting this, go and check google earth images and the boundary line there. Uganda invaded the island which is a Kenyan territory and deployed her security forces there, who have constantly harassed Kenyans. On her part, Kenya has been so lenient on this issue and instead choosen to be diplomatic instead of being confrontational.

About Ethiopia, it's even good you stated on your own that Ethiopia shot down Kenyan aircraft and killing several people within Kenyan territory several times. In this case, nani mchokozi Kati ya Kenya na Ethiopia?

About South Sudan, this is a country that Kenya rescued at the brink of collapse after many years of civil war that left thousands of people dead. If it wasn't for Kenya, would South Sudan have known the peace they enjoy today? Kenya has even given asylum to many of her citizens na leo hii kuna maeneo hapa Nairobi ukienda utadhani uko Juba. Go to Donholm, South C and parts of Kilimani. South Sudanese are almost everywhere you look! How comes leo hawataki kusikia neno Kenya?

Saa zingine it's good to be objective in your analysis instead of letting your emotions overrun your thinking which leads to saying things that you have absolutely no idea about
 
Even mt. Kilimanjaro you claim it's yours .
Because of your history we will never support you that migingo belong to kunyaland
 
Recap on Kenyas relations with her neighbours,

Uganda deployed soldiers against Kenya at Migingo,

Ethiopia Troops are involved several times shooting down Kenyan Aircrafts , several times,
Ethiopia troops killing Kenyans within Kenyan territory several times

South Sudan dont want to hear the word Kenya

Somalia and Kenya had a boarder dispute for decades, now the situation is beyond diplomacy, Somalia is yet ready for war and death

Apparently Tanzania is the only accommodative and lenient to Kenya with all of its disobedience
na bado wanatuita sisi goigoi[emoji1][emoji1][emoji1].
sometimes huwa nasema kenge hasikii mpaka agongwe kisawa sawa dami itoke.
 
Tutakong'otwa na nani? Hapa EA Ethiopia tu ndio wanaoweza kutuhemesha. Hao wengine tunawapiga kama drum.
kwakweli sio kuwahenyesha,ethiopia anawachapa amekaa,ni yeye kaangusha ndege za kenya mara mbili nzima mmeufyata.

ila ug,somali,sudani wanawahenyesha.

sisi hapa hata hatuna muda wa kupigana na nyinyi,tunaweza wawekea vikwazo na mkajifia taratibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
I don't know why Tanzanians debate with a lot of emotions in these forums about anything Kenyan. Kwani Kenya iliwafanyia nini? Cha kushangaza ni kwamba most of you are out of touch with the reality. It's really sad.

About Migingo island, it's even laughable go state that Kenya started the standoff. Migingo island is geographically in Kenya and it has always been since tine immemorial. If you are doubting this, go and check google earth images and the boundary line there. Uganda invaded the island which is a Kenyan territory and deployed her security forces there, who have constantly harassed Kenyans. On her part, Kenya has been so lenient on this issue and instead choosen to be diplomatic instead of being confrontational.

About Ethiopia, it's even good you stated on your own that Ethiopia shot down Kenyan aircraft and killing several people within Kenyan territory several times. In this case, nani mchokozi Kati ya Kenya na Ethiopia?

About South Sudan, this is a country that Kenya rescued at the brink of collapse after many years of civil war that left thousands of people dead. If it wasn't for Kenya, would South Sudan have known the peace they enjoy today? Kenya has even given asylum to many of her citizens na leo hii kuna maeneo hapa Nairobi ukienda utadhani uko Juba. Go to Donholm, South C and parts of Kilimani. South Sudanese are almost everywhere you look! How comes leo hawataki kusikia neno Kenya?

Saa zingine it's good to be objective in your analysis instead of letting your emotions overrun your thinking which leads to saying things that you have absolutely no idea about
wewe buda ndio uko na emotion tupu[emoji2][emoji2][emoji2].

ishu ya boundaries ni ishu sensitive sana usilete utani,hapo ndipo utapima ubavu wa jeshi la nchi husika maana ndio kazi yake kuu.
nyinyi jeshi hamna,mna kikundi cha wanamgambo waliosajiliwa kisheria,mara kibao wamedhihirisha kushindwa tusk kibao.

migingo uganda wamekita vitambi kibabe mmekausha.
kule hindi somalia wamekiwasha na hamna namna zaidi ya kulalamika umoja wa mataifa[emoji23]
ethiopi ndio wakafanya ubabe wa wazi kabisa.
bado sitaki kusema tz ilifanya nini mlipoleta kiherehere kwenye klm mount.

vita sio jambo zuri,ila ukiona unadokolewa sana,ujue una udhaifu au unagusa mali za watu.
 
I don't know why Tanzanians debate with a lot of emotions in these forums about anything Kenyan. Kwani Kenya iliwafanyia nini? Cha kushangaza ni kwamba most of you are out of touch with the reality. It's really sad.

About Migingo island, it's even laughable go state that Kenya started the standoff. Migingo island is geographically in Kenya and it has always been since tine immemorial. If you are doubting this, go and check google earth images and the boundary line there. Uganda invaded the island which is a Kenyan territory and deployed her security forces there, who have constantly harassed Kenyans. On her part, Kenya has been so lenient on this issue and instead choosen to be diplomatic instead of being confrontational.

About Ethiopia, it's even good you stated on your own that Ethiopia shot down Kenyan aircraft and killing several people within Kenyan territory several times. In this case, nani mchokozi Kati ya Kenya na Ethiopia?

About South Sudan, this is a country that Kenya rescued at the brink of collapse after many years of civil war that left thousands of people dead. If it wasn't for Kenya, would South Sudan have known the peace they enjoy today? Kenya has even given asylum to many of her citizens na leo hii kuna maeneo hapa Nairobi ukienda utadhani uko Juba. Go to Donholm, South C and parts of Kilimani. South Sudanese are almost everywhere you look! How comes leo hawataki kusikia neno Kenya?

Saa zingine it's good to be objective in your analysis instead of letting your emotions overrun your thinking which leads to saying things that you have absolutely no idea about
Una matatizo ya kuelewa kilichoandikwa, soma tena elewa lengo lake.
 
Kwa iyo unataka kusema nn, sawa Ethiopians wa chokozi, kwann Ethiopia watungue tu ndege zenu, yani from no where watungue tu ndege yenu, ni wehu ivyo? Lazima kuna sababu, Sudan, I'm sure you took a side, hata hao Sudanese wengi hapo ni wa kabila moja. Somalia mnataka muweke somaliland, Ug wakawazuga na bomba la mafuta, afu wakalileta Tz, migingo wanakalia kimabavu whilst you're diplomatics. And you think mko normal, buda!
 
Uganda wanakalia Migingo milele hamna kidume Kenya anadiriki kusema ng'we!
Kuna vitu zingine ni upuzi tu, sasa between relations na a rock in a lake, which is more important, you dream the day we will go into war ndio mtu overtake economically, it will never happen
 
Kwa iyo unataka kusema nn, sawa Ethiopians wa chokozi, kwann Ethiopia watungue tu ndege zenu, yani from no where watungue tu ndege yenu, ni wehu ivyo? Lazima kuna sababu, Sudan, I'm sure you took a side, hata hao Sudanese wengi hapo ni wa kabila moja. Somalia mnataka muweke somaliland, Ug wakawazuga na bomba la mafuta, afu wakalileta Tz, migingo wanakalia kimabavu whilst you're diplomatics. And you think mko normal, buda!
Niliyemjibu kwa hiyo comment yangu alikuwa anajaribu kusema Kenya ndio wachokozi. Of all those incidences I have highlighted above, taja ni taifa lipi ndio mchokozi Kati ya Kenya na hao wengine.

About Kenya kutojibu maahambulizi za Ethiopia and Uganda, it takes me back to my earlier statement. Kenya is a peace-loving country and has chosen to be diplomatic in handling issues with her neighbours instead of being confrontational. If you expect us to retaliate ndio mupate story za kusema na kusinzia Kenya, mtangoja sana. We would have done the same with Uganda about Migingo long time ago.

Nitajie ni Kabila lipi hiyo Kutoka South Sudan ndio wako Kenya. We helped these niggas at the their hour of need an hilo watatambua hadi miller even if you don't.
Stop being emotional my brother
 
Cdf alikuwa Somalia for two days ,cha kushangaza ni hawakupata Intel yoyote ati ako huko ......"deep "operations indeed.
Ep8iV_RXcAI9F-d.jpg
 
Niliyemjibu kwa hiyo comment yangu alikuwa anajaribu kusema Kenya ndio wachokozi. Of all those incidences I have highlighted above, taja ni taifa lipi ndio mchokozi Kati ya Kenya na hao wengine.

About Kenya kutojibu maahambulizi za Ethiopia and Uganda, it takes me back to my earlier statement. Kenya is a peace-loving country and has chosen to be diplomatic in handling issues with her neighbours instead of being confrontational. If you expect us to retaliate ndio mupate story za kusema na kusinzia Kenya, mtangoja sana. We would have done the same with Uganda about Migingo long time ago.

Nitajie ni Kabila lipi hiyo Kutoka South Sudan ndio wako Kenya. We helped these niggas at the their hour of need an hilo watatambua hadi miller even if you don't.
Stop being emotional my brother
Wapi nipo emotional mzee, me nauliza if Kenya is peace loving nation, mbona mnakorofishana na Ethiopia, Somalia etc.
Iyo peace mbona inazaa mafarakano na jirani zenu? Ww unasema sijui nn.
 
Wao ndio wanatuchokoza. Nini ngumu kuelewa hapo?
 
Kuna vitu zingine ni upuzi tu, sasa between relations na a rock in a lake, which is more important, you dream the day we will go into war ndio mtu overtake economically, it will never happen
Kwaiyo mmekubali kuwaachia, haki sijawahi ona hii kitu,
Brother how reason that way at your age?
Someone should not invade your land as a Nation na useme its just a rock, even a 10cm should not happen and at that point no nation on earth shows tolerance, kama usipoweza kulinda that rock as u said what makes you think you can protect a county?
What if you'll come to realize that the rock has multibillion worthy mineral deposits beneath ?
 
Back
Top Bottom