Wanatusaidia sisi wa darasa la saba!Wakuu naangalia mechi hapa watangazaji wa Azam nao wanatangaza kuna ulazima wa wao kutangaza wakati kuna watangazaji waliopo uwanjani nao wako "live"?
Unaweza uka change lugha nakusikiliza commentary za kizunguWakuu naangalia mechi hapa watangazaji wa Azam nao wanatangaza kuna ulazima wa wao kutangaza wakati kuna watangazaji waliopo uwanjani nao wako "live"?