UTV - Liverpool Vs Leicester

UTV - Liverpool Vs Leicester

maiyanga1

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
1,340
Reaction score
1,832
Wakuu naangalia mechi hapa watangazaji wa Azam nao wanatangaza kuna ulazima wa wao kutangaza wakati kuna watangazaji waliopo uwanjani nao wako "live"?
 
Azam hawajawahi kutangaza mechi yoyote live,wao hutumia video kutangaza.Kama unataka wanaotangaza mechi live kwa vpl ni Abood,Sibuka Nk. Japo VPL huonesha live ila hawatangazi live[emoji41][emoji41]
 
Wakuu naangalia mechi hapa watangazaji wa Azam nao wanatangaza kuna ulazima wa wao kutangaza wakati kuna watangazaji waliopo uwanjani nao wako "live"?
Unaweza uka change lugha nakusikiliza commentary za kizungu
 
Wanaku tafsiria...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...


Cc: mahondaw
 
Wanafanya vema kuonyesha ila kinacho kera ni kuingiza sauti ya watangazaji,badala ya kuacha vibes za uwanjani yaani tukio linatokea mtangazaji naye anasubilia replay ili aone vizuri, wakiacha huo ujinga watafanikiwa sana
 
Back
Top Bottom