Uuh.. Huyu msichana mpya hapa ofisini...

Mmmh!! nistail hizo Adam alidondoshwa na Eva pale Eden garden, uzuri uko dukani sasa hivi, mfanye your wife awe kama huyo
 
Tunaweza kumlaumu huyu oooh hivi mara vile! Tungemuuliza ameoa! ana watoto! ana mchumba! Tukishajua ndo tumshauri!
Inawezekana huyu ndo keshaona wake ambaye watasimama naye mbele za kasisi ama sheikh kutimiza nadhiri yao ya kuishi milele ka mke na mume! Watu hukutana popote! kuna walokutana JF wakapendana kwa michango yao humu wakaishia kuwa wa milele nini kukutana ofisini bana!
Muzeee kama hujawahi kusema alichokiunganisha Mungu mwanadamu asitenganishe ruksa kaka ka umependa! Ila kama una mke na watoto usithubutu kamwe!
 
kama nakupatia picha vile,hapo hutoki ,na ukishapiga mzigo uje kutuambia,
 


Yaani unaruhusu tamaa ya mwili inakutawala...kwanza ujue umeshamkosea mkeo kwa kuwaza wanawake wa nje sasa inawezekana hiyo ni tabia yako...kwani anaweza kuja tena mwingine hapo ukamtamanani...ushauri tuu we ukiona huyo bibie anazidi kukugand we mwaga wino chin ukakae nyumbani na mkeo kama unaaga unaenda kazini kumbe matamanio ndio yanakupeleka...jamani maisha yamekuwa na woga hebu fikiria mkeo watoto utawaacha na nani na unaweza kuta huyo dada ni changu tuu we unataka kujichomeka shauri yako...Neema ya mungu ikuongoze maana akili imesharuka...
 
Hiyo issue simple sana. Fanya hivi: MWAMBIE MAPAJA YAKE NI MAZURI NA KIFUA CHAKE BOMBA LAKINI UNA MKE WA NDOA KWAHIYO AKATEGE SEHEMU NYINGINE. Anaweza kukuwasha kibao...ni poa tu maana ujumbe umefika...ataanza ku-behave responsibly. Baada ya hapo urudi kutupa feedback. I have done it, not once and it works, believe me.
 

kemea huyo ni pepo wakuharibu ndoa yako na maisha yako maana kwanza hata background yake huijui magonjwa yenyewe sasa ndo mengi ya kila aina
 
Huyu ni dhaifu tu, hakuna zaidi ya hapo
yebhaaa... mungu wa yohana wa jacob wa israel.. zali zalina ningekuwa mimi nisingemuacha mana umetoa sifa zake mimi mpaka mwamvuli umekunjuka... kweli kwenye miti hakuna wajenzi..
 
Hivi jamani mbona tunamshauri jamaa hapa as if yeye ni mashine flani hivi hana nyama, moyo, wala damu?

Kuna mtu kashauri labda ampige picha aiweke hapa tutasmini japo ndo tutakuwa tunaingilia privacy yake. Lakini huenda jamaa anateseka kihalali kabisa. sasa namna ya kufind a trade off kati ya ndoa yake na yeye mwenyewe ndo mchezo ulipo.

ee bwana ukiona vipi ni PM kuhusu utaratibu.
 
Ndo nini hausaport na picha mkuu tuwekee nakapicha kidogo!
 
Kama amejenga mazoea ya kuambatana na wewe during lunch, mwalike mke wako wakati wa lunch na yeye akiwepo then mtambulishe kwa mkeo; wakati wote mtakapokuwa na mkeo hakikisha unamsifia sana mkeo. Kama yeye anakutega, hapo utakuwa wewe umemtega zaidi....!!!
 
Mtoto tayari ameelekea kibra huyoooooo...kula hiyo kitu!!!!
 
Utamzoe afu utamuona tofauti sana na unavyomuona saivi. Kwa unavosema inaonesha ni mzoefu kidogo pia zaidi yako.
If ur ment to b togethr u wil if nt thank God to protect your destiny
 
Bahati mbaya ktk maisha tunalazimika kufanya maamuzi. Kuwa neutral ni ubabaishaji. Amua, kama unakula ule, kama huli, usile. Na uheshimu maamuzi yako.
 
Uzuri wa mtu sio sura tuu..!
Chapa kazi ndg yangu achana na hayo manyonyo na mapaja yatakupeleka pabaya ! Miwaya inakamataga watu hivyo hivyo, na husipomuondoa mawazoni ipo siku utajikuta usiku unaota na kupiga mayowe jina lake na ukishtuka unakuta gongo halipo limekatwa !!!

 
Gusa bosi wako akupeleke Mabwe pande, ukimwona kobe juu ya mti ......! U ARE NEXT TO BE FIRED.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…