Uuh.. Huyu msichana mpya hapa ofisini...

Uuh.. Huyu msichana mpya hapa ofisini...

Inaonekana hapo umekwama kabisa na unahitaji neema tu ya Mungu ikuokoe!

Sikia, ijengee akili yako ushindi, usikubali kushawishika kwa njia yoyote. Muone kama Dada yako tu! Linda ndoa yako.

hapo kwenye purple nimecheka ghafla mpaka hapa ofisini watu wakanishangaa.....
 
Amejua wewe umeoa,hivyo hutambana sana na hii itamfanya apate muda wa kuwa na hao vijana.Si unajua wenye wake ndiyo wanacare vizuri?Loh

Hili nalo neno..maana some time wife akinipigiaga simu unakuta yuko pembeni yangu..... hichi kizazi bwana.
 
She has brought in specifically to spy you if you are stealing company's money. I guess you will do to win her.
hehehe... u mean she is Takukuru? if this is kind of new trickthey gona trap a lot of people.
 
Inawezekanaje upende mchuzi afu nyama iwe haramu kwako?..(i mean.. Hujapenda maudhui ila umependa alivyowasilisha maudhui!..lol! umetisha babe )
Hahah SnowBall inawezekana "mnynge mnyngeni haki yake mpeni" kwenye ukweli pasemwe maudhui siyo lkn presentation yake iko poa
 
Hahah SnowBall inawezekana "mnynge mnyngeni haki yake mpeni" kwenye ukweli pasemwe maudhui siyo lkn presentation yake iko poa

Amen! yaani kichwa hapa kinataka kupasuka..... ningekuona ningekupa takrima kidogo.
 
Kaka achana na hilo kahaba, fanyakazi iliyokupeleka hapo, kumbuka ahadi ya ndoa ulioitoa pale kanisani siku ile ulipofunga ndoa. Pia utatesa watoto wako bure kwa mambo ya tamaa.Una mke uliyempenda wewe mwenyewe hebu heshimu ndoa yako. Hilo ni kahaba haiwezekani yeye ni mgeni halafu afanyevitu vya ajabu ajabu na wewe umenyamaza kimya, Kuwa serious kama ni lunch aende mwenyewe kwani hana miguuu au macho. TAFADHALI JALI NDOA YAKO UTAKUJA KUJUTA BURE UNAUHAKIKI GANI KAMA NI MZIMA HUYO JE NA HUKO ALIKOTOKA ALIKUWAJE KAMA HAPO MGENI TU ANAFANYA HIVYO. MUEPUKE TAFADHALI. siku njema
 
Mie mwanamke kama huyo, nitakachofanya, nabeba biblia ofisini na kabla ya kuanza kazi namkemea shetani......
Nahakikisha napaza sauti ya kukemea uzinzi kw ajina la Yesu... Lazima ataniepuka, chezea Yesu weye.....!

aaameeen! well said
 
Aiseee... ni mzuri balaaa asikuambie mtu. Nikizungusha kiti nakutana na mgongo wake.
Anavaa kimini...ananukia vizuri... blauzi yake inabana matiti yake makubwa kiasi kama yanatokea kwa juu... ni chocolate colour.. anapaka mafuta yaani mapaja yanameremetaaaa..
Mbaya zaidi madam bosi amemleta department moja na mimi hivyo kila kitu kikimtatiza kidogo tu anazunguka na kiti alafua anakiendesha mpaka pembeni yangu...imagine jamani anasogea karibu kabisa ananigusa na mapaja yake alafu wakati namwonyesha kitu kwenye monitor anakua kama analean..lalakwa kwa mbele hivi, hivyo ananigusa na manyonyo yake malaini, alafu anaongelea masikioni mwangu.
Nafikiri anaelewa ananitesa maana kila akifanya hivyo huwa natoka jasho alafu nahisi atakua anasikia moyo wangu unavyodunda kwanguvu. Eti lunch mpaka twende naye.. nikiagiza ofisini na yeye anaagiza..nikinyanyuka kama ni lunch time ananiwai nisubiri twende wote.....katika maisha yangu ya ndoa sijawai kupata mtego mbaya kama huu.
Eee mola nisaidie.

Acha bwanaaa hizoo.
 
Hapo Mungu akusaidie, au wewe ujisaidie kwa kuchukua hatua ya kuwa serious, asijilaze kwako, akitaka umsubiri kwenda lunch mwambie huendi huko. Usimwangalie mapaja yake.
 
Hapo Mungu akusaidie, au wewe ujisaidie kwa kuchukua hatua ya kuwa serious, asijilaze kwako, akitaka umsubiri kwenda lunch mwambie huendi huko. Usimwangalie mapaja yake.

Kwani kwenda nae lunch kuna ubaya gani? mpaka amtege kiivyo...
 
Ndugu yangu tafuna mzigo huo ili akili zako zitulie na ufanye kazi kwa ufanisi.
Mungu kakushua ili utafune mzigo huo
 
Nakuelewa mkuu Sarikoki, majaribu ofisini ni Mengi hasa kwa hawa mabinti. Pia kuna tatizo moja ambalo wakati mwingine sie tuliooa tunakumbana nalo. Unakuta mke unae tena mrembo tu sana ila kila akifika home amechoka mbaya sababu ya kazi na foleni, ukiomba mamboz anakuambia ngoja watoto walale. Wakishalala unakuta nae anakoroma coz of uchovu. Hapo siku imetoka!. Inapita wiki nzima hujagusa kitu!! Unambembeleza lakini wapi! sana sana atakuambia ngoja Jumamosi au Jumapili. Isitoshe, wanawake wengine ni low libido kwa hiyo hawapendi kufanya mamboz!! Sasa katika hali hiyo, utakuta wanaume wanaangukia nyumba ndogo ya kupoozea ashki, utalaumu wanaume kweli?
 
Aiseee... ni mzuri balaaa asikuambie mtu. Nikizungusha kiti nakutana na mgongo wake.
Anavaa kimini...ananukia vizuri... blauzi yake inabana matiti yake makubwa kiasi kama yanatokea kwa juu... ni chocolate colour.. anapaka mafuta yaani mapaja yanameremetaaaa..
Mbaya zaidi madam bosi amemleta department moja na mimi hivyo kila kitu kikimtatiza kidogo tu anazunguka na kiti alafua anakiendesha mpaka pembeni yangu...imagine jamani anasogea karibu kabisa ananigusa na mapaja yake alafu wakati namwonyesha kitu kwenye monitor anakua kama analean..lalakwa kwa mbele hivi, hivyo ananigusa na manyonyo yake malaini, alafu anaongelea masikioni mwangu.
Nafikiri anaelewa ananitesa maana kila akifanya hivyo huwa natoka jasho alafu nahisi atakua anasikia moyo wangu unavyodunda kwanguvu. Eti lunch mpaka twende naye.. nikiagiza ofisini na yeye anaagiza..nikinyanyuka kama ni lunch time ananiwai nisubiri twende wote.....katika maisha yangu ya ndoa sijawai kupata mtego mbaya kama huu.
Eee mola nisaidie.

Mpwa jinunulie sun goggles nyeusi tii usimwangalie
 
Funga mguu kaambie katoe nguo then kafungue mguu songa hatua kazaa mbele ya kenyewe simamisha mguu wa tatu then maliza paredi.
 
Kazi unayo jaribu kukaa nae mbali kidogo maana si muda utasaliti ndo yako, ofisini kuna mitego sana ni Mungu tu anatusaidia.Muombe Mungu akulinde km imani unayo tna ya ukweli.
 
Back
Top Bottom