Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 4,423
- 9,296
Wabongo kwa kukaririshwa kwaiyo bila hasara haitawezekana
Watafanyaje kama homo WANAZIDI KUONGEZEKA! NA SISI RIJALI TUKO WACHACHE!Duh watu wanabadili matumizi ya asili.
Yako wapi bro, Kuna rafiki angu kanituma niulizeDar es salaam, kuna maduka mengi sana ya kuuza vifaa hivyo vya umeme na manual.
Kwani zinauzwa hadharani? Nadhani zinapaswa kuwa bidhaa illegal.Hivi karibuni kumeibuka tabia za wanawake kujiridhisha, kujifikisha kileleni kwa kutumia mboo bandia, wanawake wengi kama si wote wanao jiita single mothers hutumia hilo.
Dar es salaam, kuna maduka mengi sana ya kuuza vifaa hivyo vya umeme na manual.
Faida Tatu za Kutumia Uume Bandia
Kufika kileleni kwa urahisi na kupunguza msongo wa mawazo: Vifaa hivi, hasa vile vinavyosisimua kwa mtikisiko (vibrators), humsaidia mwanamke kuchochea mishipa ya hisia ya klitorisi (kisimi) na uke kwa ufanisi mkubwa. Hali hii hupunguza msongo wa mawazo na kuongeza homoni za furaha (endorphins). Kujitambua kimwili: Humsaidia mwanamke kuelewa vizuri maeneo ya mwili wake yanayompa msisimko mkubwa wa kingono (erogenous zones) ambao wanaume wa kibongo ni ngumu sana kumpa. Maarifa haya yanaweza kumsaidia kuboresha uhusiano wake wa kimapenzi na mwenza wake kwa kumuelekeza kile anachokipenda. Afya ya uke na misuli: Kwa wanawake waliopita umri wa kukoma hedhi au wale wenye uke unaobana sana (vaginismus), matumizi ya uume bandia kwa ushauri wa daktari yanaweza kusaidia kuweka kuta za uke katika hali ya unyumbufu, kuongeza mzunguko wa damu, na kuimarisha misuli ya nyonga (pelvic floor muscles).
Hasara Tatu za Kutumia Uume Bandia
Hatari ya maambukizi (Infections): Kama kifaa kisipotakaswa vizuri kabla na baada ya matumizi, kinaweza kubeba bakteria au fangasi. Hali hii inaweza kusababisha magonjwa kama maambukizi ya njia ya mkojo (UTI) na bakteria wa ukeni (Bacterial Vaginosis). Pia, kukishirikisha kifaa hicho na mtu mwingine bila kinga kunaweza kueneza magonjwa ya zinaa. Uraibu na changamoto katika mahusiano: Matumizi ya kupitiliza yanaweza kumfanya mwanamke kuingia kwenye uraibu (addiction), ambapo anaanza kutegemea kifaa hicho tu ili kufika kileleni. Hali hii inaweza kumfanya ashindwe kuridhika anapofanya mapenzi ya kawaida na mwanamume, na hivyo kuleta migogoro katika uhusiano. Michubuko na majeraha ya ukeni: Kutumia vifaa vilivyotengenezwa kwa plastiki ngumu au nyenzo zenye sumu (kama phthalates), au kuvitumia kwa nguvu bila vilainishi (lubricants) vya kutosha, kunaweza kusababisha michubuko midogo midogo kwenye ngozi laini ya uke na kuongeza hatari ya maumivu au maambukizi.
View attachment 3699400
Mwehu kweli wewe😄Ajali kazini
Apumzike kwa amani
Si heri njikabidhi Kwa vibe leta kuliko wanaume msio na utuSister Abi bado upo single au ndio tayari ushajikabidhi kwa vibe leta?
Tusiaache kuombea matatizo tuwaombee watumia dildo😄Dah, hizi za Sinza si ndio balaa?
Tuombeeni jamani!
Eeeh si umeona hata wewe faida na nzuri kuliko hasara😅😅Mwehu kweli wewe😄
Hakuna mwanamke asiyetongozwa niamini mimi hata awe mbaya. Mtu kutumia hayo makitu kaamua tu kwa sababu zake na sio kwamba amekosa mb**Wameona hawatongozwi sasa wanajimaliza.
😂😂Hakuna mwanamke asiyetongozwa niamini mimi hata awe mbaya. Mtu kutumia hayo makitu kaamua tu kwa sababu zake na sio kwamba amekosa mb**
Njoo kwanza PM tuna mazungumzo privacy mimi na wewe hapa naona inzi wengiSi heri njikabidhi Kwa vibe leta kuliko wanaume msio na utu
100% sure & true ila mwanamke akiwa anaomba mboo yaan anaomba kutombwa nyege zimempanda kichwani hua anatia huruma sana sijajua kwaniniHakuna mwanamke asiyetongozwa niamini mimi hata awe mbaya. Mtu kutumia hayo makitu kaamua tu kwa sababu zake na sio kwamba amekosa mb**
Huyo anakufanyia maigizo ya kutia huruma, mwanamke akitaka hana haja ya kusema neno vitendo tu vinatosha100% sure & true ila mwanamke akiwa anaomba mboo yaan anaomba kutombwa nyege zimempanda kichwani hua anatia huruma sana sijajua kwanini
Lakini hata wanaume si wanafanya hivyo?Kwanini utumie vibrators na uume bandia wakati originals zipo?
Mungu hakuwa mjinga kumuumba Adam na kumpa Eva wake
Tumepewa agizo la kuijaza Dunia, halafu wenzetu wanatumia uume bandia 🙌
Nasema uongo mdogo wangu 🤣