Uume bandia unaweza kuua wasichana. Acheni Dildo!

Kwani zinauzwa hadharani? Nadhani zinapaswa kuwa bidhaa illegal.
 
Kwanini utumie vibrators na uume bandia wakati originals zipo?

Mungu hakuwa mjinga kumuumba Adam na kumpa Eva wake

Tumepewa agizo la kuijaza Dunia, halafu wenzetu wanatumia uume bandia πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…