Unakuta mdada huku jf kafunga pm asitongozwe ila anatumia dildo KhantweMbona faida zina mashiko kuhusu hasara. Halafu hiyo namba moja inaepukika, maana hata hizi orijino zenyewe sio safi kihivyo. Namba mbili haina maana kwa sababu mtu mwenye mahusiano hawezi kuhangaika na hayo makitu
ππππUtaskia, sikuhizi wanaume hawana nguvu, kumbe wao wanachezea za umeme alafu wanataka kulinganisha na hizi za nyama
Binafsi napenda ya asili bana. Touch ya hasi na chanya sio poaa!