KWELI Uume huacha kukua mwanaume anapofikisha umri wa miaka 20

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
Sio uume tu
 
Good afternoon Guys

Yangu ni machache tu wapendwa

Ni dhadhiri kwasasa kumekua na wimbi kubwa la watu wanauza dawa za kurefusha uume, zipo dawa za kienyeji na pia za dawa za kizungu. Ukipita mitandaoni Yani Kila Kona dawa zakurefusha uume/ dawa ya kurudisha heshima ya ndoa.

Swali langu, je ni kweli kuna dawa za kurefusha uume? Endapo zipo je madhara ya kutumia hizo dawa ni yapi?

Naomba wataalam wa Afya mtusaidie, ni ukweli usiopingika watu wanasumbuliwa na tatizo la kibamia ndio maan wauzaji wamekua wengi mitandaoni.
 
Nafikiri shida si vibamia, shida kubwa ipo vichwani mwa watu. Vibamia vipo zaidi vichwani mwa watu kuliko kwenye boxer.

Kuna watu wanataka kushindana na walikotokea.
 
Mimi napambana niongeze hata inchi moja

Nina miaka 27
 
Kwa nini urefushe uume wakati sehemu ya msisimko ya KE ipo karibu ma mashavu ya mbususu.

Labda useme kunenepesha uume ili kupambana na visima vipana na gubegube. CM 18 inatosha kabisa kwa mwanaume kwa maumbile ya kawaida. Hata wenye CM 12-18 wasijidharau zinatosha.

Huwezi kupambana na mlango ulipotokea. Just imagine mtoto mdogo ana kilo 3 hadi 5 anatokea hapo. Uume hata nusu kilo haufiki unataka kuikomesha KE.

Mwanamke mwenye stress zake kamwe haridhiki. Tuzikune kwa kiasi mabaharia.
 

mbona wanasema wanapenda kubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…