Uume kuchelewa kusimama

khamees dullah

New Member
Joined
Oct 31, 2016
Posts
4
Reaction score
0
Uume unalala ukishapiga bao la kwanza na huchelewa kusimama ili kuendelea na mechi je hili ni tatizo au
 
Punguza jaziba kwenye tukio....pia weka pamba kwenye masikio kwa minajiri yakuwakwepa wapiga debe au matapeli muda uo hakikisha unakula vyakula vyenye kujenga mwili kiafya.......
 
Acha kukamia sana shida yako ndio hiyo tulia piga vitu taratibu usiwe na wenge ukiweza kumudu akili yako hiyo ikisimama ni kama msumari vile
 
Mtu akipost kitu toa ushauri wenye msaada kumbukeni page hii sio ya utani au kule MMU. Ss kama huna solution kwenye tatizo la mtu kwann kukebehi na vijembe? Ndo maana wenye JF walituwekea forus kibao ss sio kila mahala ni utani mzaha na vijembe. Natumai ungekua ww una tatizo ukijibiwa hivyo hutofurahi. Na matokeo yake jukwaa litapoa watu makini watatukimbia bse ya vijitabia
 
Pole mkuu, tena pole sanaaa
Maana kwenye sex bao la pili ndo huwa linanoga tena liwe la moto moto bado kuwe na ashki ya bao la kwanza.
 
Mbona hiyo ni hali ya kawaida, tumetofautiana kuna wengine wakipiz** cha kwanza wanaweza kuunganisha ila ni wachache sana, wengi wakip** cha kwanza kiafya huhitaji kupumzika kwenye dk 30-45 kabla ya kuendelea na gemu. Sasa kwako hujaeleza inachukua muda gani kuja raundi ya pili. Vile vile kwa wale wenye matatizo ya kutoweza kurudia hata mpaka lisaa limoja, kuna njia ngingi za kukurudisha uwanjani. Hapa unatakiwa kutumia STIMULANT .Kuna ambao hutumia energy drink kwa mfano, grand malt, redbull, dragon, zile vitu vya azam, kahawa etc. lakini energy drink si nzuri kiafya. Lakini njia rahisi ambayo hutumiwa na wengi ni kuangalia video za xxx, hiii haichukui muda inasimama na unaweza kuendelea. Lakini njia inaweza mafuta yakakuishia njiani, kwamba ukafanya alafu ukashangaa ikalegea safarini.
Njia nzuri ni kuweka concentration ako kwenye jambo/tukio na kusahau shida na adha zote zinazokusumbua. Ukiweza hii uta perfom effectively na wala hutaona shida yeyote. Sio unakwenda uwanjani unaanza kukukmbuka madeni, kazi, shida, na majanga ambayo zitakuhamisha kwenye gemu
Hope clearly understoood men!
 
Ni kawaisa baada ya cha 1,ila isiwe mrefu
 
Umeongea vizuri sana
 
uume unalala ukishapiga bao la kwanza na huchelewa kusimama ili kuendelea na mechi je hili ni tatizo au
Uume kuchelewa kusimama baada ya kumaliza goli la kwanza ni kawaida unaweza kuchukuwa dakika 30 au saa 1 ikiwa huna mawazo la kama unayo mawazo utaweza kuchelewa zaidi ya hapo. Swali langu ninalo kuuliza je ukichelewa kusimama na ukisimama Tena huo uume wako je huwa unamaliza kwa dakika ngapi? Au ndio ukishamaliza bao la kwanza ndio huwezi tena kuendelea mechi yako ya raundi ya pili? Na kama Raundi ya pili unamaliza kwa muda wa dakika 5 itakuwa wewe ni mgonjwa wa upungufu wa nguvu zako za kiume kama unapiga punyeto acha au kama uliwahi kupiga punyeto umesha athirika na upungufu wa nguvu zako za kiume hutoweza kumfikisha mpenzi au mke wako kileleni. Itabidi unione nipate kukutibia Ukihitaji matibabu toka kwangu.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
HA
Watu wengine jinga sana aseee,! yani uangalie picha x wakati mtoto uko nae hapo kitandani na yuko uchi kabisa! Shiiiiit .. !
Haaa Mr. Dotto please usiseme swala la ujinga, tumetofautiana kimwili, kiisia, kimaumbo na kadhalika. Kwa mfano mtu aliyekaa na mkewe 10 year hawezi kuwa na muwakakwaka kimapenzi naye, lakini akichukua kitu kipya fasta wala haiitiji stumulant, so you need to think broadly
 
Kabla ya gemu piga maji lita 4 tu na usikojoe mkojo ukikubana halafu piga mzigo
maji lita nne unazijua kweli?
we umekuwa ngamia ama?huu ushauri hapana kwa kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…