khamees dullah
New Member
- Oct 31, 2016
- 4
- 0
Uume unalala ukishapiga bao la kwanza na huchelewa kusimama ili kuendelea na mechi je hili ni tatizo au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha punyeto kwanzauume unalala ukishapiga bao la kwanza na huchelewa kusimama ili kuendelea na mechi je hili ni tatizo au
Kunywa konyagi
Changanya na Dompo
Awe na Kamwana pembenSi utamfanya mwenzio alale hata bao moja asipige
xanaaaa ndio kinywaji gani?Kunywa maji xanaaaaa
Umeongea vizuri sanaMtu akipost kitu toa ushauri wenye msaada kumbukeni page hii sio ya utani au kule MMU. Ss kama huna solution kwenye tatizo la mtu kwann kukebehi na vijembe? Ndo maana wenye JF walituwekea forus kibao ss sio kila mahala ni utani mzaha na vijembe. Natumai ungekua ww una tatizo ukijibiwa hivyo hutofurahi. Na matokeo yake jukwaa litapoa watu makini watatukimbia bse ya vijitabia
Uume kuchelewa kusimama baada ya kumaliza goli la kwanza ni kawaida unaweza kuchukuwa dakika 30 au saa 1 ikiwa huna mawazo la kama unayo mawazo utaweza kuchelewa zaidi ya hapo. Swali langu ninalo kuuliza je ukichelewa kusimama na ukisimama Tena huo uume wako je huwa unamaliza kwa dakika ngapi? Au ndio ukishamaliza bao la kwanza ndio huwezi tena kuendelea mechi yako ya raundi ya pili? Na kama Raundi ya pili unamaliza kwa muda wa dakika 5 itakuwa wewe ni mgonjwa wa upungufu wa nguvu zako za kiume kama unapiga punyeto acha au kama uliwahi kupiga punyeto umesha athirika na upungufu wa nguvu zako za kiume hutoweza kumfikisha mpenzi au mke wako kileleni. Itabidi unione nipate kukutibia Ukihitaji matibabu toka kwangu.uume unalala ukishapiga bao la kwanza na huchelewa kusimama ili kuendelea na mechi je hili ni tatizo au
Haaa Mr. Dotto please usiseme swala la ujinga, tumetofautiana kimwili, kiisia, kimaumbo na kadhalika. Kwa mfano mtu aliyekaa na mkewe 10 year hawezi kuwa na muwakakwaka kimapenzi naye, lakini akichukua kitu kipya fasta wala haiitiji stumulant, so you need to think broadlyWatu wengine jinga sana aseee,! yani uangalie picha x wakati mtoto uko nae hapo kitandani na yuko uchi kabisa! Shiiiiit .. !
maji lita nne unazijua kweli?Kabla ya gemu piga maji lita 4 tu na usikojoe mkojo ukikubana halafu piga mzigo