Mnyamahodzo
JF-Expert Member
- May 23, 2008
- 1,933
- 988
Tatizo la uume kushindwa kusimama au kubaki katika kusimama kwa uume ni dalili ya mwanzo yenye kutoa onyo/tahadhari (warning sign) kuwa kuna ugonjwa wa moyo. Ambapo kama litaachwa kyshughulikiwa inaweza kusababisha kifo cha ghafla due to Heart attack. Tatizo hili linaweza kukuzwa zaidi na wale wanaume wanaotumia dawa za kuongeza nguvu za kujamiiana ( sex-enhancinf drugs) kama vile viagra, zwagra, etc.
Mara nyingine kusimama (kudinda) kwa uume kusiko kwa kawaida, yaani nusu kudinda na nusu kusinyaa huweza kuwa kuna sababishwa na baadhi ya arteries zinazopeleka damu katika uume kuziba. Hii ni ishara kuwa katika mfumo wa damu kuna tatizo ambalo pia huenda ikawa hadi katika arteries zinazopeleka damu kwenye moyo.
Kwa kifupi wataalamu wa magonjwa ya moyo huita "RISK FOR UNDETECTED HEART DISEASE"
(Hali hiyo ni kawaida kuwakuta wagonjwa wa kisukari)
Mwanaume ukiona unatatizo hilo fikiri kwenda mbiyo Hospitali.
Mwanamke, ukiona mmeo jogoo anasuasua kuwika usimlaumu, mshawishi akapime matatizo ya moyo hiyo ni dalili ya awali. Ukisita iko siku utabakiwa ghafla na jina tu la huyo baba wa watoto wako.