Uume kushindwa kusimama, ishara ya kifo cha ghafla

Uume kushindwa kusimama, ishara ya kifo cha ghafla

Mnyamahodzo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Posts
1,933
Reaction score
988
Tatizo la uume kushindwa kusimama au kubaki katika kusimama kwa uume ni dalili ya mwanzo yenye kutoa onyo/tahadhari (warning sign) kuwa kuna ugonjwa wa moyo. Ambapo kama litaachwa kyshughulikiwa inaweza kusababisha kifo cha ghafla due to Heart attack. Tatizo hili linaweza kukuzwa zaidi na wale wanaume wanaotumia dawa za kuongeza nguvu za kujamiiana ( sex-enhancinf drugs) kama vile viagra, zwagra, etc.

Mara nyingine kusimama (kudinda) kwa uume kusiko kwa kawaida, yaani nusu kudinda na nusu kusinyaa huweza kuwa kuna sababishwa na baadhi ya arteries zinazopeleka damu katika uume kuziba. Hii ni ishara kuwa katika mfumo wa damu kuna tatizo ambalo pia huenda ikawa hadi katika arteries zinazopeleka damu kwenye moyo.

Kwa kifupi wataalamu wa magonjwa ya moyo huita "RISK FOR UNDETECTED HEART DISEASE"
(Hali hiyo ni kawaida kuwakuta wagonjwa wa kisukari)

Mwanaume ukiona unatatizo hilo fikiri kwenda mbiyo Hospitali.
Mwanamke, ukiona mmeo jogoo anasuasua kuwika usimlaumu, mshawishi akapime matatizo ya moyo hiyo ni dalili ya awali. Ukisita iko siku utabakiwa ghafla na jina tu la huyo baba wa watoto wako.
 
Asante kwa ushauri mkuu...haya mambo muhimu sana ni vizuri kila baada ya muda kuchek afya.
 
Mkuu uume kutokusimama kunachangiwa na factors nyingi sana ulichokitaja not necessarily ikawa ni sababu. Ugonjwa wa moyo una dalili zake ni muhimu kujua dalili za ugonjwa wa mhusika kwanza
 
Mkuu uume kutokusimama kunachangiwa na factors nyingi sana ulichokitaja not necessarily ikawa ni sababu. Ugonjwa wa moyo una dalili zake ni muhimu kujua dalili za ugonjwa wa mhusika kwanza

Ni kweli kuna factors nyingi zinaweza kusababisha erectile dysnfunction ambapo inatajwa kuwa 75% zinaweza kuwa ni physical cause. Non-physical cause zaweza kuwa ni:
1. Uchovu mrefu (over-tiredness)
2. Msingo (Stress)
4. Masumbufu ya kimawazo (Tension)
5. Mfadhaiko wa mawazo (depressed)
6. Unywaji mkubwa wa pombe (too much alcohol)
7. Hata baadhi ya unazoandikiwa na daktari hospitalini.

Source: various articles za "Impotence association".
 
Umri na kisukari ni sababu wazi ambazo zinajulikana.

Matumizi ya viagra na kadhalika kuongeza nguvu za uume huongeza risk mara mbili ya kupata heart attack na stroke kwa wanaume ambao tayari wako katika hatari ya kupata magonjwa ya moyo.
 
Hahahahahaha

Kuna story nilipewa nikisoma hapa nacheka sana
 
Back
Top Bottom