Uume kusimama kila mda

Isaack Newton

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
594
Reaction score
291
Habari wakuu,!

Aise mimi sijui kama ni tatizo au la, uume wangu huwa unasimama kila mda hata kama nikitoka kufanya mapenzi na GF wangu yani bado ndo kama nimeuchokoza na nikiona msichana kaachina kifua au upaja ndo kabisaaaa some time huwa nalazimika kuvaa boksa mbili ili nisiumbuke.

Jamani naombeni ushauri kuhusu hii hali na niliwahi kumuuliza mwalimu wangu akaniambia kwamba LIBIDO yangu ipo juu sana.
 
Angalia aina ya vyakula unavyokula. Kuna aina ya vyakula vinasababisha hali hiyo.

Nakupa mfano mmoja wazee wetu wa zamani walipenda kutumia miswaki ya miti lakini ulikuwa ni mti x. walikuwa hawakosi hamu ya Tendo la ndoa hata kwenye utu uzima wao pia walikuwa ngangali.

Hivyo chunguza vizuri unakula chakula cha aina gani?
 
Aaaaaaahh!!! Sio ww hata mie natatizo hilo nikiona msichana akivaa mavazi yao ya mitego au kuona mapaja n.k.... Sijui kwa nn???????
 
Iwapo unasimamisha muda mrefu sana hata baada ya kujaamiana ni vizuri kumuona daktari , wakati mwingine hilo linaweza kuwa tatizo kubwa kuliko tunavyodhani - inaweza kuwa dalili ya sickle cell anemia ama Leukemia .
Google usome ugojwa unaoitwa PRIAPISM dalili na athari zake
 

shukrani sana mkuu maana hii hali huwa inanisumbua sana hasa nikienda sehemu za beach ku refresh mind huwa nalazimika kuvaa boksa hata nne ili kumzuia jamaa.
 

Huo mti kama sio extinct basi ni endangered specie..
 

Mkuu huwa napenda sana kula maharage,samaki kwa wingi na kulamba lamba asali.
 

Mkuu nimeusoma huo ugonjwa lakini sijaona hata dalili moja ambayo ninayo kulingana na ugonjwa huo.
 
Isijekua boxer yakp umegeuza mbele nyuma mbele, maana mimi ilishawahi nitokezeaga!!
 
Aaah aaah kagauza boxer mbele nyuma nimecheka sanaa
 
subiri upate majukumu kidogo. itasinzia yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…