Hamia Rombo mkuu, ukishiba utatulia na libido kushuka
Tangazo La Nn??
Kifo Au??
Isijekua boxer yakp umegeuza mbele nyuma mbele, maana mimi ilishawahi nitokezeaga!!
Habari wakuu,!
Aise mimi sijui kama ni tatizo au la, uume wangu huwa unasimama kila mda hata kama nikitoka kufanya mapenzi na GF wangu yani bado ndo kama nimeuchokoza na nikiona msichana kaachina kifua au upaja ndo kabisaaaa some time huwa nalazimika kuvaa boksa mbili ili nisiumbuke. Jamani naombeni ushauri kuhusu hii hali na niliwahi kumuuliza mwalimu wangu akaniambia kwamba LIBIDO yangu ipo juu sana.
Kwanza nataka kukuulzia swali dogo. Unapenda hiyo hali au hupendi?
Km hupendi Dawa yake ndogo, FUNGA HUO UUME NA RUBBER BAND for three days utaona mabadiliko!