Uume kusimama legelege

Hata ungefanya hayo unayosema hujafanya bado isingesababisha iwe legelege.

saga tangawizi, na vitungu saum kijiko kimoja kimoja changanya na asali vijiko viwili piga hiyo asubuhi na jion alaf tumia chai isiyo na yale majani ya chai ya kiwandani, tengeneza chai ya viungo tu tangawizi na vile viungo vingine ndo iwe chai yako.

Alaf tafuta mbegu za maboga zile zilizokaangwa zinauzwa kwenye supermarket tumia pia unaweza kula peke yake au nunua na korosho ule kama haitasimama hadi uone kero basi mkuu kweli una tatizo kubwa.
 
Tuwasiliane ninayo dawa nzuri sana ya kutibu hilo tatizo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyote hivi kwa Mda gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…