Uume kusimama legelege

Uume kusimama legelege

Hata ungefanya hayo unayosema hujafanya bado isingesababisha iwe legelege.

saga tangawizi, na vitungu saum kijiko kimoja kimoja changanya na asali vijiko viwili piga hiyo asubuhi na jion alaf tumia chai isiyo na yale majani ya chai ya kiwandani, tengeneza chai ya viungo tu tangawizi na vile viungo vingine ndo iwe chai yako.

Alaf tafuta mbegu za maboga zile zilizokaangwa zinauzwa kwenye supermarket tumia pia unaweza kula peke yake au nunua na korosho ule kama haitasimama hadi uone kero basi mkuu kweli una tatizo kubwa.
 
Wadau me kijana miaka 32 maana toka nibalehe sijawahi kushiriki mahusiano ila umri huu nimeamua kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja ili nioe tatizo linalonisumbua uume kusimama legelege hausimami vizuri mpka mwanamke analalamika,sijawahi kufanya nyeto,sema nimeangalia sana porn niliacha miaka 3 imepita je tiba yake nini na vipimo gani nikacheki hospital
Tuwasiliane ninayo dawa nzuri sana ya kutibu hilo tatizo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ungefanya hayo unayosema hujafanya bado isingesababisha iwe legelege.

saga tangawizi, na vitungu saum kijiko kimoja kimoja changanya na asali vijiko viwili piga hiyo asubuhi na jion alaf tumia chai isiyo na yale majani ya chai ya kiwandani, tengeneza chai ya viungo tu tangawizi na vile viungo vingine ndo iwe chai yako.

Alaf tafuta mbegu za maboga zile zilizokaangwa zinauzwa kwenye supermarket tumia pia unaweza kula peke yake au nunua na korosho ule kama haitasimama hadi uone kero basi mkuu kweli una tatizo kubwa.
Vyote hivi kwa Mda gani?
 
Back
Top Bottom