Uume kusimama legelege

πŸ˜‚ watu wamekushikia Bango!..
Inawezekana ukawa na tatizo la kiafya nenda kacheki homoni ya kiume kama Haina shida basi mashaka yangu makubwa ni unatatizo la kisaikolojia na tatizo hilo huenda likawa ni sex anxiety!.
Na anavyozidi kukulaumu ndo tatizo litakapokuzidia! Huyo mtu wako anatakiwa pia apewe ushauri asikupigie kelele kuhusu hilo swala.. kama anakupenda kweli anaweza kuwa tiba nzuri sana kwako!.

Kama ukiwa peke yako ukafikiri kuhusu ngono na mnara ukasoma fresh au Ile asubuhi mnara unasoma 5G ya nguvu, na kama ukiwa na mtu wako na mnara ukawa unasoma legelege my friend kabla hujaanza kuliwa hela nakuanza kumezeshwa mizizi ya Kila aina nikuonye tu kwa asilimia kubwa unahilo tatizo la sexy anxiety.. mwisho fatilia mabadiriko yako ya mapigo ya moyo ukiwa na mpenzi wako na ukiwa unataka tendo mapigo yakawa yanakuenda spidi kuliko kawaida,rafiki hiyo ni sexy anxiety kazi kwako mwanaume kupambania kombe lako...πŸ˜‚
 
Ungejua ni bora ubaki kama ulivyo, sisi tunaosimamisha kama msumari ni mateso matupu.

Vizinga, uti, kusalitiwa nk.
Mkuu rizika tu baki kama ulivyo, nyege mateso sana
 
Miaka 32 hujawai kula Mbususu aisee.... Ww utakua una shida kubwa sana mkuu yawezekana hufanyi kazi duh!! Miaka 32 ndo unakutana na mwanamke kwa mara ya Kwanza unazidiwa na vitoto vya La Nne
Mi mwenyewe nimepata dem wa kwanza nikiwa mkubwa na miaka 21 baada ya dem kunionea huruma mwenyewe, laa sivyo had leo ningekua sina dem maana huwa sina stori nao
 
Tatizo la misuli legelege ya Uume huchangiwa kwa sehemu kubwa na tatizo la Kujichua (Punyeto) iwapo litafanyika kwa muda mrefu.

Maana kama unasema sahihi, umeacha punyeto miaka 3 iliyopita ina maana uliacha Punyeto ukiwa na miaka 32-3=29.

Tangu kijana wa Kiume abarehe miaka 15 ina maana umepiga Punyeto miaka 29-15=14.

Miaka 14 ya kupiga punyeto inatosha kukufanya Uume wako uwe legelege.

Tembelea kituo cha afya kilicho karibu nawe kwa msaada zaidi.

NB: Hakuna Mwanaume ambaye hajawahi kupiga Punyeto (akiwemo huyu aliyeandika comment hii) labda awe aliwahi kuanza mahusiano mapema ama mwenye matatizo ya kushindwa kusimamisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…