KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
😂 watu wamekushikia Bango!..
Inawezekana ukawa na tatizo la kiafya nenda kacheki homoni ya kiume kama Haina shida basi mashaka yangu makubwa ni unatatizo la kisaikolojia na tatizo hilo huenda likawa ni sex anxiety!.
Na anavyozidi kukulaumu ndo tatizo litakapokuzidia! Huyo mtu wako anatakiwa pia apewe ushauri asikupigie kelele kuhusu hilo swala.. kama anakupenda kweli anaweza kuwa tiba nzuri sana kwako!.
Kama ukiwa peke yako ukafikiri kuhusu ngono na mnara ukasoma fresh au Ile asubuhi mnara unasoma 5G ya nguvu, na kama ukiwa na mtu wako na mnara ukawa unasoma legelege my friend kabla hujaanza kuliwa hela nakuanza kumezeshwa mizizi ya Kila aina nikuonye tu kwa asilimia kubwa unahilo tatizo la sexy anxiety.. mwisho fatilia mabadiriko yako ya mapigo ya moyo ukiwa na mpenzi wako na ukiwa unataka tendo mapigo yakawa yanakuenda spidi kuliko kawaida,rafiki hiyo ni sexy anxiety kazi kwako mwanaume kupambania kombe lako...😂