Uume kusinyaa kwa miaka mingi

Uume kusinyaa kwa miaka mingi

Calamity

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2013
Posts
856
Reaction score
47
Wanajamvi naomba ushauri wenu mimi sijaoa umri wangu ni miaka 27, tatizo langu ni uume wangu kulingana kama wa mtoto mdogo ila nikija kugegeda ndo unatoka na kuwa wa mtu mzima kitu kinacho nipelekea kuogopa kuutoa mbele ya wanaume wenzangu.

Sina tatizo lolote la kiafya mi nikofiti je ni nini?
 
sa hiyo si kawaida jameni unataka kitu yako ikae wima muda wote kama mlingoti?
 
Punguza hofu umeathirika kisaikolojia na hiyo inakufa kuogopa kila wakati na uume kusinyaa
Kuwa mtu wa raha jiamini fanya mazoezi damu ichemke uje hapa kunia ambia kitu mkono full time
 
Ata me hvo hvo lakin nna miaka 21 ikisinyaa km ya mtt wa miaka 9. Na km ikigeda ukubwa wake ni km inch 5.9
Sa cjui km na mm nna tatizo!
 
Kwa nini unaonyesha uume wako kwa wanamme wenzako?

Afu huyo jeni ni nani?
 
Wewe uko siriaz au unajoki watu? Kwa hiyo wewe ulitakaje? Uwe umevimba masaa 24?
 
Kwa hiyo huko public toilet wanamme huringishiana size za nyume zao?

Ah ah..!! co kwamba wanalingishiana ukubwda. Sem km ukumbin ama kuchmba dawa pale kutizamana inaweza kutokea sasa jamaa anahofia hyo kusema anahc wakimuona watamcheka ama kumshangaa!
 
Wanajamvi naomba ushauri wenu mimi sijaoa umri wangu ni miaka27 tatizo langu ni uume wangu kulingana kama wa mtoto mdogo ila nikija kugegeda ndo unatoka na kuwa wa mtumzima kitu kinacho nipelekea kuogopa kuutoa mbele ya wanaume wenzangu nasina tatizo lolote la kiafya mi nikofiti jeni.

Me Naona Suala lako ni la kawaida na wala huna tatizo lolote. Mwanaume anaweza kuwa na muonekano mkubwa wa uume ukiwa dolo na hata ukisima unakuwa the same size ila unakakamaa. Na mwingine unakuwa mdogo ukiwa dolo kama ulivyo wewe lakini ukisimama unakuwa hatarii, unaexpand mara dufu. Jiamini uko sawa, huyo nyoka uliyenaye sio wa maonyesho.
 
Teheeee nimekupenda bure!
 
hiyo ni hali ya kawaida kila binadam anamaumbile tofauti wengine magobole yetu likilala kama limesimama na likisimama haliongezeki,kama unapenda kubadilisha hiyo hali jaribu kuoga na maji ya moto mara kwa mara ni physical change hiyo
 
yeah, kama ungekuwa hausimami ingekuwa tatizo, lakini kama unachapa mwendo yaani 120km kwa saa nini gogoro!!
 
Wanajamvi naomba ushauri wenu mimi sijaoa umri wangu ni miaka 27, tatizo langu ni uume wangu kulingana kama wa mtoto mdogo ila nikija kugegeda ndo unatoka na kuwa wa mtu mzima kitu kinacho nipelekea kuogopa kuutoa mbele ya wanaume wenzangu.

Sina tatizo lolote la kiafya mi nikofiti je ni nini?

Unakaribia Kuwa Shoga au Punga au Bwabwa au Chakula. Ni Pm Nikupe Dawa Moja Inaitwa Futu ambayo Mchezaji Wetu Tegemeo ( Mabwana Sama Time ) Huwa Anatuletea Wadau Wake na Hata Juzi tu Alimkabidhi Winga Teleza Mrisho na Beki Wetu Side Boy ( Mweda ) Watuletee na Ni Nzuri balaa na Ukiitumia Hiyo Kama Msichana au Binti au Mwanamke au Mke Wa Mtu HAKUSIFII na HAKUNG'ANG'ANII basi Nakuruhusu Uje UNIPELEKE SHIMO LA TEWA. Inaitwa FUTU na Kama Upo na Mwana BANDEKO NANGAI ( MKONGO au MZAIRE ) Yoyote Karibu Muulize na Atakupa Habari Yake. ILA tu Unatakiwa Uitumie Wakati Una Uhakika Wa Kuwa Karibu na Mtu ( Mpenzi Wako ) La Sivyo UNAWEZA HATA UKAPASUA UKUTA Kwani MTALIMBO Unakuwa Na Nguvu Za Ajabu halafu INAKUWA Nzito Mno na Ukimwaga Mzigo wa Kwanza Ni Sawa Sawa Na Chupa Ya Soda Ya FANTA Kwani Inaongeza Sana Yale MADHIWA Yetu Sisi Wanaume. INAWATIA Sana Adabu Mademu Lakini Pia Wanakuheshimu Kwani Huwa Inatekenya Mno Kwa Mujibu wa Ninaowamwagiaga. Mtafute Mrisho au Mweda Watakusaidia Mkuu na Mtalimbo Wako Utapata Tiba. Ila Pole Sana!
 
Duh! Ushauri mwingine huu!
 
Back
Top Bottom