Calamity
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 856
- 47
Wanajamvi naomba ushauri wenu mimi sijaoa umri wangu ni miaka 27, tatizo langu ni uume wangu kulingana kama wa mtoto mdogo ila nikija kugegeda ndo unatoka na kuwa wa mtu mzima kitu kinacho nipelekea kuogopa kuutoa mbele ya wanaume wenzangu.
Sina tatizo lolote la kiafya mi nikofiti je ni nini?
Sina tatizo lolote la kiafya mi nikofiti je ni nini?