Uume kusinyaa wakati wa tendo

Naenda mpaka 3,lakini sikojoi hata mara moja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu unatatzo ila utanisamehe..
Et unaenda[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji23]
 
Tusaidiane kwenye no 3,hilo tatizo la kuwa na weusi kwenye mapumbu ulitumia tiba gan,msaada wako pls
 
Mbona Kama mnataka kuwaingiza raia chaka
 
sasa uko 3 unafkaje kama ukojoi Hata moja au unadhan iksmama ukaweka ndio moja iklala ikacmama ukaweka ndio mbil nakuendelea??
Dah! Nimecheka peke yangu,Aisee huyu jamaa Kwanza atueleze maana ya kukojoa labda anahisi ule mkojo mwingine.
 
sasa uko 3 unafkaje kama ukojoi Hata moja au unadhan iksmama ukaweka ndio moja iklala ikacmama ukaweka ndio mbil nakuendelea??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maaamae
 
Huyu jamaa amepost akiwa baa kalewa sana yani unapiga goli tatu bila kukojoa anywayz, kula sana vyakula vya wanga fanya mazoezi na usifanye mambo haya ukiwa na stress.
 
Siku VIROBA vikizuiliwa basi na Matatizo Kama haya hayatatokea tena n hence problem solved [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…