Uume kusinyaa wakati wa tendo

Uume kusinyaa wakati wa tendo

Naenda mpaka 3,lakini sikojoi hata mara moja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu unatatzo ila utanisamehe..
Et unaenda[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji23]
 
Nilishawahi kuwa na ttzo hili kama lako la uume kusinyaa wakt wa tendo

Hii inasababishwa na
1. Chronic UTI (UTI sugu)
2. Hemorroids (bawasiri) hata kma haijaanza kuonekana
3.kuwa na weusi km unashambuliwa na fungus maeneo ya korodani na hutoa harufu kali kma hujatibiwa

Cha kufanya wahi upime UTI ujue kma ipo na ujaribu kuwasiliana na wataalamu zaidi kwa ajili ya kutibu bawasiri maana ni hatari sana hupunguza nguvu za kiume kadri inavyochukua mda mrefu

Take it serious manaana madhara yake ni makubwa sana,, nitafute pm kwa msaada zadi
Tusaidiane kwenye no 3,hilo tatizo la kuwa na weusi kwenye mapumbu ulitumia tiba gan,msaada wako pls
 
Dr watu wanakuchukulia poapoa hawajui umuhimu wako tu ila mmi nashukuru sana kwa kweli kwan tatizo langu la uume legelege kusinyaa uken na kushindwa kurudia na kusimama kwa haraka limeisha kabisa na ndoa yangu imeimarika napendwa sana kumbe upendo unatokana kufanya mapenz vizur nilikua sijui ubarikiww sana dr ipo siku watakupigia salute tu hawa wasioelewa umuhimu wako nilitumia milion moja na zaid kusaka tiba had nikakata tamaa ila kwako elfu 20 tu asante sanaaaaaaa
Mbona Kama mnataka kuwaingiza raia chaka
 
sasa uko 3 unafkaje kama ukojoi Hata moja au unadhan iksmama ukaweka ndio moja iklala ikacmama ukaweka ndio mbil nakuendelea??
Dah! Nimecheka peke yangu,Aisee huyu jamaa Kwanza atueleze maana ya kukojoa labda anahisi ule mkojo mwingine.
 
sasa uko 3 unafkaje kama ukojoi Hata moja au unadhan iksmama ukaweka ndio moja iklala ikacmama ukaweka ndio mbil nakuendelea??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maaamae
 
Huyu jamaa amepost akiwa baa kalewa sana yani unapiga goli tatu bila kukojoa anywayz, kula sana vyakula vya wanga fanya mazoezi na usifanye mambo haya ukiwa na stress.
 
Siku VIROBA vikizuiliwa basi na Matatizo Kama haya hayatatokea tena n hence problem solved [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom