Uume kutosimama

Uume kutosimama

Ni mfanyakazi mwenzangu imemtokea,ni rijali wa uhakika ila baada ya kukutana na msichana uume umeshindwa kusimama.
Ni mara ya kwanza kumtokea hali hiyo,ushauri wenu ni muhimu.
Fuatilia sana huyo msichana atakuwa mchumba wa mganga wa jadi, ameshakupiga kipapai hapo.
 
Back
Top Bottom