Citizen_37 JF-Expert Member Joined Jun 29, 2023 Posts 957 Reaction score 1,124 Nov 29, 2023 #41 MLALE said: Ni mfanyakazi mwenzangu imemtokea,ni rijali wa uhakika ila baada ya kukutana na msichana uume umeshindwa kusimama. Ni mara ya kwanza kumtokea hali hiyo,ushauri wenu ni muhimu. Click to expand... Fuatilia sana huyo msichana atakuwa mchumba wa mganga wa jadi, ameshakupiga kipapai hapo.
MLALE said: Ni mfanyakazi mwenzangu imemtokea,ni rijali wa uhakika ila baada ya kukutana na msichana uume umeshindwa kusimama. Ni mara ya kwanza kumtokea hali hiyo,ushauri wenu ni muhimu. Click to expand... Fuatilia sana huyo msichana atakuwa mchumba wa mganga wa jadi, ameshakupiga kipapai hapo.