Uume kuwa mdogo sana wakati umelala na kuwa mkubwa ukisimama

Uume kuwa mdogo sana wakati umelala na kuwa mkubwa ukisimama

brazuka

Senior Member
Joined
May 30, 2014
Posts
159
Reaction score
255
Natanguliza shukrani,

Kitaalamu na kiafya uume kuwa mdogo sana kamawa mtoto mdogo ukilala lakini ukisimama inchi nane. Je hii ni hali ya kawaida ndugu zangu?

Msaada tafadhali
 
Hiyo no kawaida..
Kusinyaa na kuvimba Kwa dushelele yako ni kitendo kinacho kuthibitishia were kuwa hicho nikiungo hai..hivyo lazima kionyeshe Kwa vitendo.

ONYO.....Kwepa sana mazoea ya kuufanya uume wako unasimama muda mrefu pasipo huduma stahiki..hii itakusababoshia misuli ya uume Kuchoka mapema kutokana na kuvimbidha damu kwenye mishipa Mara kwa Mara..mwishowe utaishia kufeli kwenye game ya sita Kwa sits maana utadindisha Kwa pupa na misuli ikisha mwagisha shahawa Mara moja uta on a dushe yako imelegea ila haija lala round ya pili ukikomaa kuingiza lina jipinda tu kama jongoo haliingi wakati were mwenyewe bado una shahuku ya kuzifumania nyavu Kwa Mara nyongine..hii no kwavile tu ulikuwa inasamisha ovyo halafu hauchapi misuli inakuwa imechoshwa pasipo Tija.

EPUKA TAMAA ZA KIJINGA HALAFU UNAISHIA KULA KWA JICHO UNACHOSHA MISULI BURE.BORA YAKO INA SINYAA NA KUVIMBA WAKATI MWAFAKA..HAKUNA SHIDA HAPO.
 
picha kikiwa kimelala na kikiwa kimesimama tadhari!
 
Simple.variation inatofautiana kati ya ME mmoja na mwingine

ME wawili waweza kuwa 4" zikiwa doro,once zimetutumuka mmoja aweza kuwa 6" na mwingine fika 7.5"

hata KE degree ya elasticity differs though kwa mwonekano zaweza kuwa alike
 
natanguliza shukran. je kitaalam na kiafya dushe kuwa kibamia km cha mtt mdg kikilala lakin likisimama inch nane.
je hii ni hali ya kawaida ndugu zangu. msaada tafadhali

Be honest plz!
Unaposema kikilala kinakua kama cha mtoto mdogo unamanisha kina inch moja, mbili au tatu?
 
natanguliza shukran. je kitaalam na kiafya dushe kuwa kibamia km cha mtt mdg kikilala lakin likisimama inch nane.
je hii ni hali ya kawaida ndugu zangu. msaada tafadhali


Mkuu brazuka naona hawajakupata vizuri ulichouliza mie ntajibu kwa mujibu ulivyouliza. Kuna aina mbili za m.b.o.l.o Shower na Grower tofauti zake ni kwamba Shower ni aina ya m.b.o.l.o ambayo huwa kubwa hata ikiwa haijasimama na ikisimama ukubwa wake huongezeka kidogo "minute fractional" na hii huitwa ni aina ya dushe kutamba nayo kwa maonyesho mfano bafuni. Aina ya pili ya m.b.o.l.o huitwa Grower hii huwa ndogo ikiwa haijasimama lakini ikisimama hukua mara dufu zaidi ya size yake ikiwa imelala inaweza kuongezeka mara mbili au mara moja na nusu ni m.b.o.l.o ya mapenzi sio maonyesho maana ikiwa haijalala ni ya kawaida au ni ndogo. Angalizo ----- zote ni nzuri hapa ni kujua jinsi ya kuzitumia
 
kuna aina mbili za dushe, shower na grower, hii grower ina kawaida ya kuwa ndogo sana ikiwa haijasimama lakin ikisimama huongezeka kwa karbu 75% ya umbo lake hivyo huwa kubwa vzur tu, na hii shower yenyewe ni huonekana kuwa ni kubwa ikiwa imelala hivyo inaposimama huongezeka kidogo tu kufikia size yake inayoihitaji.
 
Back
Top Bottom