Uume kuwa na nywele nywele

Uume kuwa na nywele nywele

Sababu ni zilezile zinazofanya mavuzi, vinyweleo na hata nywele za kichwani kuota.
 
Ina maana hata kichwa cha dushelele kimejaa
nywele tele sana funguka mkuu ili tiba iwe
haraka.
 
we moyo wako una vyumba vitano nini!? Khee!!

Unauliza mambo ya kitoto, watu wanaota mpaka vidole zaidi ya ishirini vinavyojulikana, wewe kuota nywele ndio nongwa? inabidi uanze kuchunguza miche ya wengine uone kama ni kawaida au si kawaida.
 
Back
Top Bottom