Uume kuwa na nywele nywele

Uume kuwa na nywele nywele

nasikia harufu ya kitu kilichopikwa na kuanza kuungulia..hii kitu fake!
 
Mkuu si usuke tu ili ukimsopeka msopokwaji hizo katani ziwe zina mkuna kisawa sawa!
 
Unauliza mambo ya kitoto, watu wanaota mpaka vidole zaidi ya ishirini vinavyojulikana, wewe kuota nywele ndio nongwa? inabidi uanze kuchunguza miche ya wengine uone kama ni kawaida au si kawaida.

kwahyo ni kosa
 
Ina maana hata kichwa cha dushelele kimejaa
nywele tele sana funguka mkuu ili tiba iwe
haraka.

Kama ni kichwa nacho kimeota basi ujue jamaa ashughuliki si unajua siku zote pale ambapo watu wanapita huwa nyasi hazioti hivyo hata na yeye kama angekuwa anafanya kwichikwichi maana yake zingeota
 
Ni hali ya kawaida,mbona kypuna wenye ndevu uso mzima kutoa macho na pua
 
Kama ni kichwa nacho kimeota basi ujue jamaa ashughuliki si unajua siku zote pale ambapo watu wanapita huwa nyasi hazioti hivyo hata na yeye kama angekuwa anafanya kwichikwichi maana yake zingeota

kichwa kipo plain bwana.
 
Back
Top Bottom