Uume kuwa wa moto kama vile mtu mwenye homa ni kawaida?

Uume kuwa wa moto kama vile mtu mwenye homa ni kawaida?

Swali lako halina mantiki
Ila ni hivi uume ili usimame lazima upelekewe damu (uwe supplied na damu ya kutosha) sababu uume si mfupa Bali ni spongy muscle ambayo hardness yake inatokana na full blood supply yake na damu ndo inaleta joto
 
Back
Top Bottom