Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Wakati dunia ikiendelea na uvumbuzi wa zana mbalimbali za kivita hususan zana za kinyuklia na zile za kibaiolojia, hakuna uvumbuzi wowote duniani ambao umefanikisha kupatikana kwa silaha hatari zaidi kama uume.
Mods tafadhali msifute uzi huu kwani utaongelea kweli tupu 100%
Wakati silaha nyingine zikichakaza mwonekano wako wa nje na pengine kukuua, Uume unaweza kukuchakaza ki mwonekano mpaka kisaikolojia. Wapo maelfu ya wakazi wa dunia ambao wamejikuta wakipitia kipindi kigumu na wengine wakalazimika kujitoa uhai baada ya kukumbana na silaha hii hatari zaidi ulimwenguni.
Wapo watu ambao silaha hii imebadilisha kabisa mtazamo wao na kuzima ndoto zao maishani si wanaume wala wanawake. Kwa mfano, nchini India mwaka 2012 watu 26,000 walikumbana na silaha hii hatari na wengine kupoteza uhai, idadi hiyo imeongezeka kwa 9% kufikia mwaka 2019, hiyo ni takwimu ya nchi 1 tu.
Kumekuwa na taarifa zisizokuwa rasmi kuwa baadhi ya vyombo vya dola ktk nchi nyingine hutumia silaha hii kuwatuliza viherehere na imeonesha matokeo chanya kwani waliofanyiwa inasemekana hutulia kabisa na kuacha usumbufu kabisa.
Zipo tafiti nyingi zilizofanywa na kubaini kuwa hata suala la unyanyasaji wa kijinsia kwa zaidi ya 75% linasababishwa na silaha hii hatari.