Uume ukiwa na jeraha au kidonda kidogo, je unaweza kuweka plasta kama maeneo mengine?

Uume ukiwa na jeraha au kidonda kidogo, je unaweza kuweka plasta kama maeneo mengine?

Ktk vitu ambavyo niko navyo makini baada ya macho ni hii sehemu nyeti muhimu..kama sio jeraha kubwa acha tu patapona ukiweka plaster itam-disturb mshkaji asubuhi maana ana tabia ya kuamka kabla hujaamka.
 
Kichwa cha habari kimeshajitosheleza hivyo karibuni mtoe michango yenu kulingana na uzoefu au utaalam wenu kwani kwa bahati mbaya nimejibana kama siyo kujikwangua na zipu ya suruali yangu iliyokuwa na hitilafu.

Akhsanteni!

Paka spirit utapona au yusso
 
Mijinga Kama Hii ndio inayoishushia JF hadhi,mada zako ni za kigasho gasho sana.
 
Nunua maji ya betri mwagia kwenye hicho kidonda
 
Makalio yako salama lakini? Maana MICCM hamuaminiki kabisa!
 
Kichwa cha habari kimeshajitosheleza hivyo karibuni mtoe michango yenu kulingana na uzoefu au utaalam wenu kwani kwa bahati mbaya nimejibana kama siyo kujikwangua na zipu ya suruali yangu iliyokuwa na hitilafu.

Akhsanteni!

Inakukumbusha uwe unavaa chpi
 
Back
Top Bottom