leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,340
- 1,748
Mweleze tena yule rafiki yako ili akupeleke kwa mtaalamu mwingine akai neutralize.Baada ya kugundua kuwa uwezo wangu wa kufanya mapenzi umepungua kiasi, niliamua kuomba ushauri kwa rafiki yangu wa karibu.
Rafiki yangu alisikitika sana lakini aliahidi kunisaidia kwa hari na mali iliniweze kurudi hari yangu ya zamani hivyo aliniconnect na mtaalamu wa tiba mbadala.
Nilifanikiwa kupata dawa kutoka kwa mtaalamu huyo, alinipa dawa hizo ambapo alinielekeza nile masaa mawili kabla ya kufanya tendo.
Cha kushanga baada ya kula na kufanya hilo tendo uume haujarudi kwenye hali yake ya kusinyaa( uume umedinda) mpaka hivi sasa ninavyoandika Uzi huu(siku 2) hivyo kupelekea kushindwa kufanya shughuli zangu za kila siku.
Naombeni mnisaidie Ndugu zangu hali ni mbaya sana maana nimepiga mpaka puli lakini bado.
[emoji28][emoji28]yuma picha tuhakikishe kwanza.. isije kuwa story//
then msaada unafuata
Hiyo inaitwa priapism. Ni emergency inaweza kuhatarisha maisha. wahi hospitali.bado mkuu
Acha comedy, nakushauri ukale kichuri na unywe uchi mwingiBaada ya kugundua kuwa uwezo wangu wa kufanya mapenzi umepungua kiasi, niliamua kuomba ushauri kwa rafiki yangu wa karibu.
Rafiki yangu alisikitika sana lakini aliahidi kunisaidia kwa hari na mali iliniweze kurudi hari yangu ya zamani hivyo aliniconnect na mtaalamu wa tiba mbadala.
Nilifanikiwa kupata dawa kutoka kwa mtaalamu huyo, alinipa dawa hizo ambapo alinielekeza nile masaa mawili kabla ya kufanya tendo.
Cha kushanga baada ya kula na kufanya hilo tendo uume haujarudi kwenye hali yake ya kusinyaa( uume umedinda) mpaka hivi sasa ninavyoandika Uzi huu(siku 2) hivyo kupelekea kushindwa kufanya shughuli zangu za kila siku.
Naombeni mnisaidie Ndugu zangu hali ni mbaya sana maana nimepiga mpaka puli lakini bado.
mkuu haunitakii memaJistue kidogo na umeme yaani shot ikishindika pambana nayo Hali hiyo maana kusex sio kukomoana we mchezee tu mpenzio ataridhika ulitaka umpe mishindo ashindwe kutembea
hakuna tangazo hapo mkuuAmbao hawatashtuka kuwa hili ni tangazo la biashara,nashauri warudi tena shule wakaongeze maarifa,kuzaliwa mjini ni sawa na form six wa shamba..