christopher michael
Member
- Aug 3, 2015
- 22
- 6
Pole mzee inaitwa pre apism mzee tumia muscle relaxant na sedetatives kaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bill kapicha hi hainogi aisee,Habari wa MMU!!!
Baada ya kugundua kuwa uwezo wangu wa kufanya mapenzi umepungua kiasi, niliamua kuomba ushauri kwa rafiki yangu wa karibu.
Rafiki yangu alisikitika sana lakini aliahidi kunisaidia kwa hari na Mali iliniweze kurudi hari yangu ya zamani hivyo aliniconnect na mtaalamu wa tiba mbadala.
Nilifanikiwa kupata dawa kutoka kwa mtaalamu huyo, alinipa dawa hizo ambapo alinielekeza nile masaa mawili kabla ya kufanya tendo.
Cha kushanga baada ya kula na kufanya hilo tendo uume haujarudi kwenye hali yake ya kusinyaa( uume umedinda) mpaka hivi sasa ninavyoandika Uzi huu(siku 2) hivyo kupelekea kushindwa kufanya shughuli zangu za kila siku.
Naombeni mnisaidie Ndugu zangu hali ni mbaya sana maana nimepiga mpaka puli lakini bado.
mkuu unataka nitolewe rohoUsitumie nguvu na muda mwingi nini cha kufanya.Tembea na mke wa mtu katika maeneo hatarishi kufumaniwa. Ukishafumaniwa ghafla itapoteza mawasiliano na ubongo na kusinyaa
mmmmhhhhh!!Weka uume kwenye barafu, muda mfupi utasinyaa na baadae nenda onana na daktari hospital utapewa ushauri
Jamaa unazinguaa badoo tuu???[emoji16][emoji16][emoji16]mmmmhhhhh!!
hapana mkuu
bado mkuuJamaa unazinguaa badoo tuu???[emoji16][emoji16][emoji16]
mmmh hatari hiiFunga kamba upitishe kwa nyuma boy