hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
hahahaa hatariHahhahahaa pole sana mkuu ila ukilala hauamki tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaa hatariHahhahahaa pole sana mkuu ila ukilala hauamki tena
hapo hakuna shida si ndiyo vizuri ukipata mwanamke hapati shida kuchezea...inaingiza tuu...nigekuwa mimi nigefurahi sana. ila inaonekana unafanya biashara hiyo unatka kuuza...Habari wa MMU!!!
Baada ya kugundua kuwa uwezo wangu wa kufanya mapenzi umepungua kiasi, niliamua kuomba ushauri kwa rafiki yangu wa karibu.
Rafiki yangu alisikitika sana lakini aliahidi kunisaidia kwa hari na Mali iliniweze kurudi hari yangu ya zamani hivyo aliniconnect na mtaalamu wa tiba mbadala.
Nilifanikiwa kupata dawa kutoka kwa mtaalamu huyo, alinipa dawa hizo ambapo alinielekeza nile masaa mawili kabla ya kufanya tendo.
Cha kushanga baada ya kula na kufanya hilo tendo uume haujarudi kwenye hali yake ya kusinyaa( uume umedinda) mpaka hivi sasa ninavyoandika Uzi huu(siku 2) hivyo kupelekea kushindwa kufanya shughuli zangu za kila siku.
Naombeni mnisaidie Ndugu zangu hali ni mbaya sana maana nimepiga mpaka puli lakini bado.
Kunywa maji baridi na ujimwagie kwenye sehemu zako hizo... Halafu usirudie tena huo ujinga wako labda kama unataka uwe hanithi...Habari wa MMU!!!
Baada ya kugundua kuwa uwezo wangu wa kufanya mapenzi umepungua kiasi, niliamua kuomba ushauri kwa rafiki yangu wa karibu.
Rafiki yangu alisikitika sana lakini aliahidi kunisaidia kwa hari na Mali iliniweze kurudi hari yangu ya zamani hivyo aliniconnect na mtaalamu wa tiba mbadala.
Nilifanikiwa kupata dawa kutoka kwa mtaalamu huyo, alinipa dawa hizo ambapo alinielekeza nile masaa mawili kabla ya kufanya tendo.
Cha kushanga baada ya kula na kufanya hilo tendo uume haujarudi kwenye hali yake ya kusinyaa( uume umedinda) mpaka hivi sasa ninavyoandika Uzi huu(siku 2) hivyo kupelekea kushindwa kufanya shughuli zangu za kila siku.
Naombeni mnisaidie Ndugu zangu hali ni mbaya sana maana nimepiga mpaka puli lakini bado.
Mwanamke Umepinda wewe...[emoji1] [emoji1]Inabidi uubadilishie kazi, tundika nguo zako....
asante mkuuKunywa maji baridi na ujimwagie kwenye sehemu zako hizo... Halafu usirudie tena huo ujinga wako labda kama unataka uwe hanithi...
Siku zote tunapaswa kuridhika na vile alivyotujaalia aliyetuumba, maana yeye hakosei..asante mkuu
Njia ya mwongo fupi , Mara Havard mara sijui wapi , duh !Pentagon napo kumbe kuna wataalamu (waganga)
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]ndiye huyu huyu mkuu" mara aseme anaishi Pentagon"... mara anaishi kwa shemeji yake " Ambaye huwa anamshika makalio dada yake mbele yake".... basii ilimradi tafarani tu
Umejibu vzr sana!rudi kwa rafiki yako na umuombe ushauri kama ulivomuomba mwanzo. naimani atakusaidia
hahahaha! mkuu usahau tu.Pentagon napo kumbe kuna wataalamu (waganga)
mkuu unanitishaKuwa makini maana ikija kushuka ndo haiji kusimama milele...itakuwa umezidisha kipimo
sawa mkuuImwagie maji ya barid