Uume umesimama toka juzi mpaka hivi sasa baada ya kula dawa ya mtaalamu

Pole sana dogo ukilala ndio hauamki tena,nahisi umekiuka masharti
 
Una simamisha mashine siku tatu mfukulizo mbele ya shemeji na dada yako au usha hama hapo?
 
Agiza maji ya Baridi kali mwagia uone kama haisinyai mzee baba.

Hizi dawa zingine muwe mnaweka kwa kiasi.
 
Muite mtu akutie kidole huko nyuma

Itasinyaa faster 2
 

Ulitafuta dawa ya kukusaidia, sasa imekusaidia, unaomba tena ushauri, sikuelewi.

Kwa sababu wewe ndio ulitafuta hilo tatizo, basi inabidi upambane nalo.

MKIAMBIWA HIZO DAWA SI NZURI HAMSIKII
 
Ulitafuta dawa ya kukusaidia, sasa imekusaidia, unaomba tena ushauri, sikuelewi.

Kwa sababu wewe ndio ulitafuta hilo tatizo, basi inabidi upambane nalo.

MKIAMBIWA HIZO DAWA SI NZURI HAMSIKII
sio kwa staili hii mkuu... Minilitaka usimame kidogo tu
 
Mkiambiwa muache kujaribu kila kilicho mbele yenu mnaona watu wajinga.. Sasa huo uwezo wako ulipima kwa kipimo gani ukagundua umeshuka.. Pia mkishauriwa kuhusu diet bora na kuacha kufanya fanya mapenzi kama jogoo mnaona watu jinga.. Sasa hapo huna familia tayari betri ya kubust na ukifikia umri staiki si utakuwa unaweka gari kilimani weyeeeeeeeeeeeeeeee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…