Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,265
Pauline nafikiri bora isimame kulikoa kulala nafikiri utasupport hili. Ikilala kuiamsha inakuwa soo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usifikiri GF wako atakoma siku hiyo, nadhani na yeye huwa inalowa akikuwaza mida hiyo, hivyo siku mkikutana itakuwa patashika nguo kuchanika. Hakikisheni mnatumia uwanja mzima, yaani iwe sebuleni, kwenye kona ya chumba, bafuni, jikoni nk.Sarakasi zote binukeni muwezavyo kuongeza vionjo vya usanii! msing'ang'anie kitandani tu kwani magoli hayo ya penalt hayanogi!
Hii thread ni ya kiume ila imenichekesha. kupiga punyeto inapunguza. ila nafikiri mida hiyo kwa mwanaume aliyekamilika lazima isimame labda ka ayake imezidi sana.
Hata kwa watoto wadogo wa kiume mida hiyo unakuta kitu kinapwta kistyle. Nafikiri Umshukuru Mungu uko fiti kaka. vinginevyo ikikaa doro oooh! its hell.
Kama nilivyomwelewa Mwanzisha Thread, analalamika kuwa hali imekuwa si kawaida. Tunafahamu kuwa erection hutokea nyakati fulani mtu akiwa amelala, lakini inapofikia kiwango cha mtu kusumbuka hiyo si kawaida ila ni tatizo.
Ingawa mada hii imefanyiwa mzaha, ninapenda kuwataarifu kuwa erection ambayo si ya kawaida inaitwa ''Priapism''. Hii inaweza sababishwa na mambo kadhaa ambayo yanaathiri mzunguko wa damu katika uume. Priapism inapodumu kwa masaa 4 mfululizo huishia na Impotance [Uhanisi]. Kama hakutakuwepo na hatua madhubuti basi uhanisi utakapotokea hauwezi kurekebishwa[Irreversible]. Uhanisi wa aina hii si upungufu wa nguvu za kiume ambao unaweza kusaidiwa na dawa kama viagra bali ni ukomo wa tendo la ndoa kwa mhusika.
Sielewi ni kwa kiasi gani mto mada ana ukweli, huenda ameamua kuchangamsha forum, lakini kwa dhati kabisa nakueleza kama kuna ukweli basi hiyo ahadi ya mtu kuzuia magoli inaweza isitimie si siku ya kurudi nyumbani tu lakini forever, ni muhimu uonane na Daktari.
Ahsante