Miss Curious
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 315
- 497
Kama sikosei mwili wa binaadau unakoma kukua pindi afikishapo miaka 23 yani primary growth.
To be curious naomba kujua na uume hukoma/huacha kukua baada ya umri gani ?
Natambua Jf wanafiki na wadhihaki ni wengi but sitajali leo naruhusu povu
NB,
Jf Doctors naombeni chondechonde msiniangushe nijibuni kitaalam nielewe na wenye kutaka kuelewa na kufahamu zaidi wafahamu.