Uume unaacha kukua/kuongezeka baada ya umri gani?

Miss Curious

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
315
Reaction score
497
Kama sikosei mwili wa binaadau unakoma kukua pindi afikishapo miaka 23 yani primary growth.

To be curious naomba kujua na uume hukoma/huacha kukua baada ya umri gani ?

Natambua Jf wanafiki na wadhihaki ni wengi but sitajali leo naruhusu povu

NB,
Jf Doctors naombeni chondechonde msiniangushe nijibuni kitaalam nielewe na wenye kutaka kuelewa na kufahamu zaidi wafahamu.
 
Mbona unapenda kuongelea issue za Mikuyenge wakati wewe ni Miss? Au Ni NGAPUlila?
 
Kama mumeo hakuridhishi kuna mambo 2 hivi afanye na wewe umsaidie ili kukufikisha;
1. Mautundu mautundu husaidia. Sio unene wa uume au urefu wa uume huleta kufikishwa. Ni mautundu huleta kufikishwa. Asikudanganye mtu kuwa, Jana niliona likiongezeka unene. Uume upo pale pale ukiisha balehe na kupata mechi mbili tatu za kirafiki tiyari mambo yanajipa. Kuongezeka kunatulia.
2.. Kama K ni pana, tafuta G spot, Sugua sugua mwisho atawaka na kupiga kelele.
Unatafuta uume mkubwa kilo ngapi au mita ngapi urefu?? Unachotakiwa ni urefu wa 2"" na unene wa dole gumba tu. Kilio kinatokea kwenye mechi za kirafiki. Mtoto anatokea
 
22- 23 years ambapo urefu ndiyo huishia hapo ila utaongezeka girth (upana) mpaka atakapofika 25 years
 
Bado sijapata jibu la kitaalamu wapendwa madaktari kujeni basi
 
Kama sikosei mwili wa binaadau unakoma kukua pindi afikishapo miaka 23 yani primary growth.

To be curious naomba kujua na uume hukoma/huacha kukua baada ya umri gani ?

Natambua Jf wanafiki na wadhihaki ni wengi but sitajali leo naruhusu povu

NB,
Jf Doctors naombeni chondechonde msiniangushe nijibuni kitaalam nielewe na wenye kutaka kuelewa na kufahamu zaidi wafahamu.
Ukimaliza chuo,haijalishi how old are you
 
Truth is ni mwanaume japo atabisha.. hayupo comfortable na size ya uume wake ..

He struggles too much to make it look "NORMAL" japo akili yake inakataa..
Namuhurumia maana atakuwa na depression kubwa sana ...

Pole jombaa
Mbona unapenda kuongelea issue za Mikuyenge wakati wewe ni Miss? Au Ni NGAPUlila?
 
Truth is ni mwanaume japo atabisha.. hayupo comfortable na size ya uume wake ..

He struggles too much to make it look "NORMAL" japo akili yake inakataa..
Namuhurumia maana atakuwa na depression kubwa sana ...

Pole jombaa
Kabisa huyu jamaa ana matatizo kwenye swala zima la kujamiina so anakuja hapa kama demu kuelezea jinsi yeye(Kama mwanamme) alivyohaibika so anatumia kivuli cha mwanamke ili aone watu watatoa mitizamo gani maana akija direct kama mwanamme na kueleza hayo matatizo watu wanatolea maneno ya shombo.
 
Kiukweli siez pigia picha anaathirika kiasi gani lakini kikubwa ajitahidi kujikubali tu maana hamna namna.. kuna mambo mengi zaidi ya sex

Back
Top Bottom