Miss Curious
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 315
- 497
Mbona unapenda kuongelea issue za Mikuyenge wakati wewe ni Miss? Au Ni NGAPUlila?Kama sikosei mwili wa binaadau unakoma kukua pindi afikishapo miaka 23 yani primary growth.
To be curious naomba kujua na uume hukoma/huacha kukua baada ya umri gani ?
Natambua Jf wanafiki na wadhihaki ni wengi but sitajali leo naruhusu povu
NB,
Jf Doctors naombeni chondechonde msiniangushe nijibuni kitaalam nielewe na wenye kutaka kuelewa na kufahamu zaidi wafahamu.
Dakitari kasomea kitabu sisi tumekujibu kwa uzoefu. Yupi bora??Bado sijapata jibu la kitaalamu wapendwa madaktari kujeni basi
big up doctor wasalimiekoo KAIRUKI22- 23 years ambapo urefu ndiyo huishia hapo ila utaongezeka girth (upana) mpaka atakapofika 25 years
Ukimaliza chuo,haijalishi how old are youKama sikosei mwili wa binaadau unakoma kukua pindi afikishapo miaka 23 yani primary growth.
To be curious naomba kujua na uume hukoma/huacha kukua baada ya umri gani ?
Natambua Jf wanafiki na wadhihaki ni wengi but sitajali leo naruhusu povu
NB,
Jf Doctors naombeni chondechonde msiniangushe nijibuni kitaalam nielewe na wenye kutaka kuelewa na kufahamu zaidi wafahamu.
Mbona unapenda kuongelea issue za Mikuyenge wakati wewe ni Miss? Au Ni NGAPUlila?
Kabisa huyu jamaa ana matatizo kwenye swala zima la kujamiina so anakuja hapa kama demu kuelezea jinsi yeye(Kama mwanamme) alivyohaibika so anatumia kivuli cha mwanamke ili aone watu watatoa mitizamo gani maana akija direct kama mwanamme na kueleza hayo matatizo watu wanatolea maneno ya shombo.Truth is ni mwanaume japo atabisha.. hayupo comfortable na size ya uume wake ..
He struggles too much to make it look "NORMAL" japo akili yake inakataa..
Namuhurumia maana atakuwa na depression kubwa sana ...
Pole jombaa
Kabisa huyu jamaa ana matatizo kwenye swala zima la kujamiina so anakuja hapa kama demu kuelezea jinsi yeye(Kama mwanamme) alivyohaibika so anatumia kivuli cha mwanamke ili aone watu watatoa mitizamo gani maana akija direct kama mwanamme na kueleza hayo matatizo watu wanatolea maneno ya shombo.