RoadLofa
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,509
- 3,313
Mambo vipi humu ndani aisee sijui ugonjwa gani huu umenipata yaani ikifika mida ya kulala kuanzia saa 3 usiku ngozi ya mwili mzima Inawasha balaa Hadi kupelekea kujikuna Kuna ovyo usiku kucha nafuu ni pale ninaposinzia tu..
Ila pia limeibuka Hadi uume nao umekuwa ukiwasha kwa ndani kwa ndani yaani nayo najikuta na ifikicha tu ili kupunguza muwasho msije sema Nina magonjwa yenu ya wazee wa ngono zembe.
Mwenye solution na hii Hali please msaada dawa gani nitumie ili kuondokana na hii Hali