Mjomba Nina mwezi sijatembea na mdada nani kakwambia nimetembea na mdadaGono ilo wadada wengi sijui kwanini wana gono Mimi niliwahi tembea na dada siku 2 zinazofata nikapata dalili kama zako hawa madada wa miaka hii sijui kwanini asilimia kubwa wana gono
Magono yapo mengi ya hapo kwa hapo mengine yanachukuwa muda hapo fanya yafuatayo nenda hosp kapime utapata jibu usikae muda maana ikishakuwa chronic itakusababishia tatizo kubwa gono sio mchezoMjomba Nina mwezi sijatembea na mdada nani kakwambia nimetembea na mdada
Hakikisha kila siku, gari inalala ndani ya parking.Mambo vipi umu ndani aisee sijui ugonjwa gani huu umenipata yaani ikifika mida ya kulala kuanzia saa 3 usiku ngozi ya mwisho mzima Inawasha balaa Hadi kupelekea kujikuna Kuna ovyo usiku kucha nafuu ni pale ninaposinzia tu..
Ila pia limeibuka Hadi mboo nayo imekuwa ikiwasha kwa ndani kwa ndani yaani nayo najikuta na ifikicha tu ili kupunguza muwasho msije sema Nina magonjwa yenu ya wazee WA ngono zembe
Mwenye solution na hii Hali please msaada dawa gani nitumie ili kuondokana na hii Hali
Watu bhana gono vipi? Sijatembea na demu Nina mwezi na ninawashwa mwili mzima aswa ikifika usiku mwanzo nilianza kuwashwa ngozi na sa hivi imeamia kwenye mboo Inawasha Ndani kwa Ndani na sio kwa njeGono Hilo, wahii sindano zako 3 za mshipa ya mkono Kwa elfu 15 tu kituo chcht Cha afyaa🤪🤪
Sindano n Bora kuliko vidongeee
Sijakuelewa mkuuHakikisha kila siku, gari inalala ndani ya parking.
Utanishukuru.
Sijakuelewa mkuuHakikisha kila siku, gari inalala ndani ya parking.
Utanishukuru.
Wahi kituo Cha afya mkuuWatu bhana gono vipi? Sijatembea na demu Nina mwezi na ninawashwa mwili mzima aswa ikifika usiku mwanzo nilianza kuwashwa ngozi na sa hivi imeamia kwenye mboo Inawasha Ndani kwa Ndani na sio kwa nje
Sijakuelewa mkuu
Sijakuelewa mkuu
Hiyo inaweza kutokea virus wasifanye reaction mapema.umeleza tatzo unahitaji ushauri alafu hutaki majibu.hilo ni gonjwa la zinaaMjomba Nina mwezi sijatembea na mdada nani kakwambia nimetembea na mdada
Kabla ya huo mwezi mmoja uliotulia bila ngono, Je mara ya mwisho kufanya ilikuwa lini?Mkumbuke pia ngozi mwili mzima Inawasha ikifika night maana wengi mmekomalia Gono tu.